Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amkatalia Waziri Mkuu wa Norway kutembelea Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu alikataa ombi la Waziri Mkuu wa Norway kuzuru Israel - na ndivyo ilivyo.

Norway iliunga mkono mashtaka ya ICC dhidi ya Israel, ilitambua taifa la Palestina, na kiongozi wao hata alihudhuria tukio la kupinga Uzayuni la Kristallnacht. Israel haina nafasi kukaribisha unafiki.

 
Kwani lazima atembelee wahuni hawa wakati wana uchumi na heshima kuliko wao au anaogopa wanataka kumshauri awatembelee wampeleke the Hague?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…