Nimefuatilia picha bila kusoma onyo la bwana Netapaka.Picha ya kupimwa suti imenichekesha sana.Baada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!!!!
Kiurahisi tuHuyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!
Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya ungaaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
Mbona hata hajaongea cha maanaBaada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!!!!
Si kwamba atafungwa kama pipi kifua? Miguuni fundo,kichwani fundo.Arare sarama!Siyo suti anapimiwa SANDA yake ili iwe tayari!!!
Na ndiyo ndoto ya kobazi wote duniani ili yule mungu wa pale kaaba apate Kiki.Huyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!
Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya ungaaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
Lete dharau, lakini hawa Israelites unawaona leo ni mabaki tu. Makabila 10 yalipotea kusikojulikana mpaka leo! Hawa walikimbilia Ulaya baada ya mkong'oto wa zaidi ya miaka 4000! 2000 years chini ya Warumi!Na ndiyo ndoto ya kobazi wote duniani ili yule mungu wa pale kaaba apate Kiki.
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu!! Haitatokea hata wewe ukifa!!Huyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!
Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya uungaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
Habari yako mkuuSafari hii mpaka Wanyooke tu!!
Nzuri tu kwema hukoSalama mkubwa habari za huko kiongozi!!!