Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,169
- 1,571
wewe ni mkristo?Ili kuuhakikishia iulimwengu na wanafiki wanaoeneza uongo kuwa Israel inawachukia wakristo Waziri Mkuu wa Israel kama kawaida yake ya kila mwaka usiku huu amewatumia salamu kuwatakia Kheri wakristo wote duniani.
Ritz Adiosamigo Webabu gTurn
Mnateseka mkiwa wapi?