Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa salamu za Krismas kwa Wakristo wote!!

Yan netanyahu atoe salamu za kheri ya krismas halafu wale waarabu og wa middle east hawajalalamika ila waarabu fake wa gongo la mboto na pungu kwalala ndo mnalalamika kwmb kwann katoa salamu hzo sa mlitake? Peleken malalamiko huko israel kwa netanyahau mmwambie hatakiwi kutoa salamu hzo. AJABU MO SALAH NAE KATOA SALAMU NA NI MWARABU PURE KBS MWENYE DINI YAKE VP AMEKOSEA? AU AMEPUNGUKIWA NA NN KWNY MAISHA YAKE, kabatizwa au?
 
Ili kuuhakikishia iulimwengu na wanafiki wanaoeneza uongo kuwa Israel inawachukia wakristo Waziri Mkuu wa Israel kama kawaida yake ya kila mwaka usiku huu amewatumia salamu kuwatakia Kheri wakristo wote duniani.

Ritz Adiosamigo Webabu gTurn

Mnateseka mkiwa wapi?

Nikukuambia wewe ni jinga lolo unabisha hivi jambazi au adui akikupa sakamu basi anakupenda
 
Ulipotea sana Mimi Nilijua uliisha kufadhili na Nilijua tayari ulishakabidhiwa wale Mabikira 72 mlioahidiwa na mtume wenu.

Nimesikitika kukuona Una post I UHARO wako hapa!! Kabila hujapotea ulikuwa unawasifia na kuwaramba makalio Magaidi wa Hamas,Hezbollah ,Houth na Islamic jihad hebu tupe habari zao siku hizi wako wap?

Kwa nini Hezbollah siku hizi wanabondwa na wanabaki kimya? Maana tunajua 2023 Israel alikuwa akirusha bomu moja wao wa Arusha kumi kipi kimewasibu magaidi hao?

Houth nao 2023 walituahidi kuwa hawawezi kusimamisha mapigano mpaka Israel iache kuwashambulia magaidi wenzao wa Hamas! Cha ajabu mpaka leo hii Israel inawashambulia magaidi wa Hamas huko Gaza na hatuoni Houth wakileta ukorofi wao kwa kurusha vi- drone Uchwara vyao kuelekea Israel nao wamepatwa na nini?

Toka Oct 07,2023 magaidi wa Hamas ulikuwa ukiwa sifa sana na kuwaramba makalio yao sasa hivi mbona hawasikiki? Wamepatwa na nini? Au wamepakatwa na majeshi ya Israel?
 
Attachments

  • IMG_4651.jpeg
    IMG_4651.jpeg
    188.2 KB · Views: 15

Al Houth alisimamisha vita bada ya Israel kukubali kusimamisha vita hio ya kupiga sio full war hawezi kuingia Al Houth kwa ujumla hawakushindwa vita. Kuhusu Hamasi pia hakushindwa vita wapi wame surrender wakatupa silaha. Kuhusu Hezbullah nani kakuambia wamemalizwa. We huoni Israel kila kukicha anashambulia kule Lebanon jiulize kwanini
 
Bure Kabisa wewe!! Oct 07,2023 Houth wakisema hawawezi kusimamisha vita mpaka Israel iache kabisa kuwashambulia magaidi wa Hamas huko Gaza cha kushangaza Israel kila siku inawashambulia magaidi hao na Magaidi wa Houth hawafanyi lolote wametumia tuliona huko Yemen.

Hezbollah nao Oct 07,2023 wakisema hivyo hivyo na waliongeza kusema kuwa kama wanashambuliwa waltalipiza kosa si kikali sana kwa Israel cha ajabu mpaka leo hii Hezbollah wanabondwa kila siku na hawajibu shambulizi lolote wanalopigwa na Israel sijui tu magaidi hao wanafeli wapi!!!

Kuhusu Hamas wao sasa wanapigwa kila siku na hawajibu chochote Naona wameamua “Kumwachia Mungu” tu baada ya viongozi karibu wote kuangamizwa kama nzige huko Gaza!!!
 
Back
Top Bottom