Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,169
- 1,571
wewe ni mkristo?Ili kuuhakikishia iulimwengu na wanafiki wanaoeneza uongo kuwa Israel inawachukia wakristo Waziri Mkuu wa Israel kama kawaida yake ya kila mwaka usiku huu amewatumia salamu kuwatakia Kheri wakristo wote duniani.
Ritz Adiosamigo Webabu gTurn
Mnateseka mkiwa wapi?
Hakuna myahudi mkristo.Ujinga na upumbavu unakusumbua!!! Wayahudi wakristo wapo wengi tu!! Tatizo lenu waarabu-Koko akili zetu zimezhikwa na Waarabu!!!
Acha ujinga Mimi nimekaa huku miezi mitatu na nimeyaona hayo wewe Bumunda uliyekaririshwa ujinga na waarabu utaniambia nini???Hakuna myahudi mkristo.
Tembea Israel nzima hauwezi kumkuta myahudi ni MKRISTO
Wayahudi Wana dini yao ya UYAHUDI.hao tunaowaona SI waya hudi bali ni waisrael wa makabila mengine . Ili uwe myahudi inatakiwa utokane na yuda mtoto wa 4 wa nabii yakobo.Acha ujinga Mimi nimekaa huku miezi mitatu na nimeyaona hayo wewe Bumunda uliyekaririshwa ujinga na waarabu utaniambia nini???
Mimi mwenyewe nafanya kazi na shirika linaitwa JewsforJesus na kazi yake kuhubiri ukristo tuna makanisa mengi tu huko na yana watu wengi tu.
Kwa sababu mmeamua kujitoa ufahamu kuamini waarabu endelea kuteseka tu!!
Waulize vizuri wakwambieAcha ujinga Mimi nimekaa huku miezi mitatu na nimeyaona hayo wewe Bumunda uliyekaririshwa ujinga na waarabu utaniambia nini???
Mimi mwenyewe nafanya kazi na shirika linaitwa JewsforJesus na kazi yake kuhubiri ukristo tuna makanisa mengi tu huko na yana watu wengi tu.
Kwa sababu mmeamua kujitoa ufahamu kuamini waarabu endelea kuteseka tu!!
ok fanya hivi yaishe maana nilitaka nikuoneshe kitu but inaonekana una hasira kama mbogo!Unaniuliza dini yangu unataka kutambikia?
Endelea kutumia na waarabu kama Condom!!Wayahudi Wana dini yao ya UYAHUDI.hao tunaowaona SI waya hudi bali ni waisrael wa makabila mengine . Ili uwe myahudi inatakiwa utokane na yuda mtoto wa 4 wa nabii yakobo.
Hao ni wayahudi wa kuchovya ila wayahudi wa ASILI HAMNA MKRISTO.ELIMIKA
sawa mama mchungaji!Acha ujinga dini yangu haikusaidii kuondoa upumbavu wako!!
ok sinyorita!Sawa Mme wangu!!!
Echolima mhayudi wa vikinduTatizo Mwarabu-koko huyo anatafuta wanaume kwa nguvu!!
Embu zungumzia hili kidogo nipate elimu nyinyi wahayud wa bongo mmeenda shule bwanaVikindu tena mbona unanizalalisha?