Kobazi wamenuna majinj yamewapanda vichwani mwao.Waziri mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu awasili mjini Washington D C tayari kwa mazungumzo na Trump.
Safari hii wafia dini mtaona moto hii miamba miwili imekutana Trump na Netanyahuu Sasa ni zamu ya Iran na wahouth kuwageuza jangwaomba omba
Ipo siku yake huyo natanyahuWaziri mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu awasili mjini Washington D C tayari kwa mazungumzo na Trump.
View attachment 3295433
GDP Ya Israel Kwa Mwaka Ni $Milion 558 na inaidadi ya watu million 6omba omba
Utafanya nni😁😁😁Ipo siku yake huyo natanyahu
sio mimi ntakayemfanya kitu bali yupo mwenye huu ulimwengu ndiye atakamuonesha ufalme wakeUtafanya nni😁😁😁
😁😁😁 Alla au mwengine?? Mkisumbua mtapigwa tu mpka akili iwakae sawasio mimi ntakayemfanya kitu bali yupo mwenye huu ulimwengu ndiye atakamuonesha ufalme wake
Muda utatuonesha,tuwe na uvumilivu tu😁😁😁 Alla au mwengine?? Mkisumbua mtapigwa tu mpka akili iwakae sawa
Uzuri safari zake ni kwa masrahi ya Jew's state;Si alikuwa Hungary huyu mheshimiwa? Kwa hiyo aliunganisha safari bila kurudi nyumbani akapaa angani hadi Marekani kwa mheshimiwa Trump
Gaza imebaki magofu we endelea na ngonjeraMuda utatuonesha,tuwe na uvumilivu tu
ila jamaa ni omba omba kweliSafar
safari hii mtanyooka tu!!
vipi Hamas walivyoua wayahudi 1200 na kuwashika raia waisrael kuwafanya mateka huyo mwenye ulimwengu unaosema hajawaadhibu Hamas ila ni Netanyahuu mwenyewe anaewatetea wayahudi?sio mimi ntakayemfanya kitu bali yupo mwenye huu ulimwengu ndiye atakamuonesha ufalme wake