Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu awasili Marekani kwa mazungumzo na Rais Trump

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu awasili Marekani kwa mazungumzo na Rais Trump

Waziri mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu awasili mjini Washington D C tayari kwa mazungumzo na Trump.

View attachment 3295433
Tusiishi kwa kukariri, kwamba Netanyahu ameenda kuhusu masuala ya Middle East.

Nimesoma habari BBC, yeye Nentanyahu anaenda kuongea na Trump kuhusu tarrifs alizopigwa na Trump, ndio ajenda kuu.

Lesotho wao pia wanajiandaa kutuma maafisa wa serikali kwenda Washington kuzungumza kuhusu tarrifa mana wamepigwa na kitu kizito sana, kama 50%. Nchi inaenda kuanguka ile
 
GDP Ya Israel Kwa Mwaka Ni $Milion 558 na inaidadi ya watu million 6
In 2023, Israel's nominal GDP was approximately $513.61 billion, with a GDP per capita of around $42,852.58
 
Vita huko Gaza ni shiida....lini wataletwa huku Tanzania ? Wapewe piri moja katavi huko
A'Aaa. Wasije huku bhana. Wacha wakae huko waliko - watatuletea maujinga yao huku kwetu. Acha nyundo itumike kupigilia misumari huko huko kwenye eneo la Tukio.
 
Muda utatuonesha,tuwe na uvumilivu tu
Unapoteza muda tu

Watoto wa Ibrahimu watawamaliza sana, wailsamu akili hawana yaani mnapomsalia Ibrahimu mnawasalia Israel ko acheni

Huyo mungu wenu mnaemuita allah hawasikii watu wa gaza na waislamu wote ndio maana bado wanachapika

Kashindwa kumsikia Kishki juu ya afande sele ndio awasikia nyie
 
Back
Top Bottom