Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa.
Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote duniani. Kwa sasa hakuna mtu hapa duniani asiyemsikia au kumjua Mwamba huyu kiboko cha Magaidi wote duniani.
Hongera sana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa uliyoifanya huko Gaza, Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na huko Iran. Dunia inakuheshimu sana wewe ni kiboko na kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa Waajemu.