Waziri Mkuu wa Israel, Benjamini Netanyahu leo ametimiza miaka 76 toka azaliwe!! Hongera kwake!!

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamini Netanyahu leo ametimiza miaka 76 toka azaliwe!! Hongera kwake!!

Hivi wewe unajua watu wa Gaza walivyofanya Oct 07,2023? Kama ulikuwa hujui walibaka,walitesa watu, Waliteka nyara watu 251 na kuua watu zaidi ya 1,200 kwa siku moja!!

Wewe unaona shida gani hapo ya Israel kulipa kisasi na kutaka watu wake waliotekwa na magaidi hao Kurejeshwa?
Acha kukariri mambo ndiyo maana nimekunasibisha na chama kileer
 
Acha kukariri mambo ndiyo maana nimekunasibisha na chama kileer
Hata nami najua huwezi kupenda kutaja Oct 07,2023 maana hapo ndipo mlipoonyesha ujinga na upumbavu ambao unawatesa sana magaidi wa Hamas na wanaowaunga mkono.

Wengi ya wapiga Propaganda kama wewe hawawezi kutaja Oct 07,2023 maana watakuwa kama wanajivua nguo hadharani, hivyo wao huanza tu kusema “ Israel inaua watu “ hawasemi kwa nini Israel inawaua hawasemi kabisa maana wanaogopa kuumbuka!!

Kwa hiyo na wewe endelea tu kujitoa ufahamu wa kutokujua mauaji yaliyofanywa na magaidi wa Hamas Oct 07,2023!,,
 
Wanao mpa hongera ni vichaa tu, wenye akili wanamuona ni mtu mmoja dhaifu sana kashindwa kupigana na Hamas kakimbilia kuwauwa watoto na wanawake kule Iran hata subutu kugusa tena ataishia kutisha tu.
Hamas wenyewe wamegaragazwa mpaka sasa hivi wamebaki kung’ang’ania Maiti na mpaka sasa hivi wana maiti ikiwemo ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel. Mateka wote walio hai baada ya kupigwa na kipigo cha Mbwa-koko waliwaachia wote na kwa ujinga wa magaidi hao waling’ang’ania maiti!!

Ayatollah naye dawa yake iko jikoni inachemka!!!
 

Attachments

  • IMG_4521.jpeg
    IMG_4521.jpeg
    265.3 KB · Views: 19
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa.

Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote duniani. Kwa sasa hakuna mtu hapa duniani asiyemsikia au kumjua Mwamba huyu kiboko cha Magaidi wote duniani.

Hongera sana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa uliyoifanya huko Gaza, Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na huko Iran. Dunia inakuheshimu sana wewe ni kiboko na kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa Waajemu.
Kiboko ya magaidi. Hongera kwake Mungu amjalie afya njema aendelee kusambaratisha wenye nia ovu dhidi ya taifa lake na dunia.
 
Anapambania tumbo lake maana ana kesi ya ufisadi. Bila vita kesi inabidi iendelee
Kwa akili yako ndogo hiyo vita itadumu milele? Acha kujifariji na kujipa moyo baada ya Magaidi unayoyashabikia kushindwa vibaya kwenye vita walivyovianzisha wao Oct 07,2023.
 
Kwa akili yako ndogo hiyo vita itadumu milele? Acha kujifariji na kujipa moyo baada ya Magaidi unayoyashabikia kushindwa vibaya kwenye vita walivyovianzisha wao Oct 07,2023.
Yameshindwa nni na mmeachia magaidi zaidi ya elfu 1 na utawala wa Gaza umerudi kwa Hamas!!

Embicile
 
Yameshindwa nni na mmeachia magaidi zaidi ya elfu 1 na utawala wa Gaza umerudi kwa Hamas!!

Embicile
Hapo hakuna tatizo maana magaidi hao 1995 thamani yao ni sawa na wayahudi 20 hebu gawanya hiyo 1995 gawanya kwa mateka 20 utapata jibu mateka mmoja wa kiyahudi ni sawa na Miarabu mingapi!!!
 
Afanye kukosea kisha aombe msahama, wananchi tufurahi
 
Back
Top Bottom