Sana,sidhani kama atatokea mwingine mwenye spirit kama huyo mwambaJamaaa anapambania sana taifa lake
Umri wake umetosha sasa,anajisikiaje anaopo ua vichanga kule Gaza na tuvijana tusio hata na robo ya umri wake?Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa.
Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote duniani. Kwa sasa hakuna mtu hapa duniani asiyemsikia au kumjua Mwamba huyu kiboko cha Magaidi wote duniani.
Hongera sana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa uliyoifanya huko Gaza,Lebanon,Syria,Iraq,Yemen na huko Iran. Dunia inakuheshimu sana wewe ni kiboko na kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa Waajemu!!!
Kwenye circle ya viongozi wenzake ukiangalia sana yeye ndo ana hulka ya kidiplomasia lakini nature ya majirani alionao wanamforce awe Mafia. Majirani wanataka watu kama Itamar Ben GvirSana,sidhani kama atatokea mwingine mwenye spirit kama huyo mwamba
Kwanini anaua vichanga?Umri wake umetosha sasa,anajisikiaje anaopo ua vichanga kule Gaza na tuvijana tusio hata na robo ya umri wake?
Duh kwamba kuna wengine wenye misimamo zaidi ya netanyau?Kwenye circle ya viongozi wenzake ukiangalia sana yeye ndo ana hulka ya kidiplomasia lakini nature ya majirani alionao wanamforce awe Mafia. Majirani wanataka watu kama Itamar Ben Gvir
Netanyahu hana misimamo mikaliDuh kwamba kuna wengine wenye misimamo zaidi ya netanyau?
Kumbe kwako wewe Magaidi yaliyoua watu zaidi ya 1,200 hapo Oct 07,2023 wewe unawaita vichanga ili watu wakuonee huruma basi utakuwa umechelewa sana Benjamin Netanyahu yeye keshatimiza majukumu yake magaidi na wanaoshabikia magaidi endeleeni tu Kubwabwaja na vichanga vyenu!!!Umri wake umetosha sasa,anajisikiaje anaopo ua vichanga kule Gaza na tuvijana tusio hata na robo ya umri wake?
Hongera yake kuvwaWaziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa.
Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote duniani. Kwa sasa hakuna mtu hapa duniani asiyemsikia au kumjua Mwamba huyu kiboko cha Magaidi wote duniani.
Hongera sana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa uliyoifanya huko Gaza, Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na huko Iran. Dunia inakuheshimu sana wewe ni kiboko na kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa Waajemu.
Watanzania tuacheni unaa,ila ikiwa wewe ni ccm huo uko damuni na kamwe huwezi kubadilika tena kwanu uovu ni wema na wema ni uovu ni sawa na yafanywayo Gaza na waovu wa kiyahudi na washirika wao!Kumbe kwako wewe Magaidi yaliyoua watu zaidi ya 1,200 hapo Oct 07,2023 wewe unawaita vichanga ili watu wakuonee huruma basi utakuwa umechelewa sana Benjamin Netanyahu yeye keshatimiza majukumu yake magaidi na wanaoshabikia magaidi endeleeni tu Kubwabwaja na vichanga vyenu!!!
BibiWaziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa.
Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote duniani. Kwa sasa hakuna mtu hapa duniani asiyemsikia au kumjua Mwamba huyu kiboko cha Magaidi wote duniani.
Hongera sana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa uliyoifanya huko Gaza, Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na huko Iran. Dunia inakuheshimu sana wewe ni kiboko na kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa Waajemu.
Wanao mpa hongera ni vichaa tu, wenye akili wanamuona ni mtu mmoja dhaifu sana kashindwa kupigana na Hamas kakimbilia kuwauwa watoto na wanawake kule Iran hata subutu kugusa tena ataishia kutisha tu.Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa.
Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote duniani. Kwa sasa hakuna mtu hapa duniani asiyemsikia au kumjua Mwamba huyu kiboko cha Magaidi wote duniani.
Hongera sana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa uliyoifanya huko Gaza, Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na huko Iran. Dunia inakuheshimu sana wewe ni kiboko na kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa Waajemu.
Hivi wewe unajua watu wa Gaza walivyofanya Oct 07,2023? Kama ulikuwa hujui walibaka,walitesa watu, Waliteka nyara watu 251 na kuua watu zaidi ya 1,200 kwa siku moja!!Watanzania tuacheni unaa,ila ikiwa wewe ni ccm huo uko damuni na kamwe huwezi kubadilika tena kwanu uovu ni wema na wema ni uovu ni sawa na yafanywayo Gaza na waovu wa kiyahudi na washirika wao!