Acha kukariri mambo ndiyo maana nimekunasibisha na chama kileerHivi wewe unajua watu wa Gaza walivyofanya Oct 07,2023? Kama ulikuwa hujui walibaka,walitesa watu, Waliteka nyara watu 251 na kuua watu zaidi ya 1,200 kwa siku moja!!
Wewe unaona shida gani hapo ya Israel kulipa kisasi na kutaka watu wake waliotekwa na magaidi hao Kurejeshwa?
Hata nami najua huwezi kupenda kutaja Oct 07,2023 maana hapo ndipo mlipoonyesha ujinga na upumbavu ambao unawatesa sana magaidi wa Hamas na wanaowaunga mkono.Acha kukariri mambo ndiyo maana nimekunasibisha na chama kileer
Hamas wenyewe wamegaragazwa mpaka sasa hivi wamebaki kung’ang’ania Maiti na mpaka sasa hivi wana maiti ikiwemo ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel. Mateka wote walio hai baada ya kupigwa na kipigo cha Mbwa-koko waliwaachia wote na kwa ujinga wa magaidi hao waling’ang’ania maiti!!Wanao mpa hongera ni vichaa tu, wenye akili wanamuona ni mtu mmoja dhaifu sana kashindwa kupigana na Hamas kakimbilia kuwauwa watoto na wanawake kule Iran hata subutu kugusa tena ataishia kutisha tu.
Sawa muisrael safi.Waarabu-koko utawajua tu kwa maneno yao!!!
Nangurukuru.Kwani sasa niko wapi.?
Kiboko ya magaidi. Hongera kwake Mungu amjalie afya njema aendelee kusambaratisha wenye nia ovu dhidi ya taifa lake na dunia.Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa.
Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote duniani. Kwa sasa hakuna mtu hapa duniani asiyemsikia au kumjua Mwamba huyu kiboko cha Magaidi wote duniani.
Hongera sana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa uliyoifanya huko Gaza, Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na huko Iran. Dunia inakuheshimu sana wewe ni kiboko na kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa Waajemu.
Anapambania tumbo lake maana ana kesi ya ufisadi. Bila vita kesi inabidi iendeleeJamaaa anapambania sana taifa lake
Kwa akili yako ndogo hiyo vita itadumu milele? Acha kujifariji na kujipa moyo baada ya Magaidi unayoyashabikia kushindwa vibaya kwenye vita walivyovianzisha wao Oct 07,2023.Anapambania tumbo lake maana ana kesi ya ufisadi. Bila vita kesi inabidi iendelee
Yameshindwa nni na mmeachia magaidi zaidi ya elfu 1 na utawala wa Gaza umerudi kwa Hamas!!Kwa akili yako ndogo hiyo vita itadumu milele? Acha kujifariji na kujipa moyo baada ya Magaidi unayoyashabikia kushindwa vibaya kwenye vita walivyovianzisha wao Oct 07,2023.
Hapo hakuna tatizo maana magaidi hao 1995 thamani yao ni sawa na wayahudi 20 hebu gawanya hiyo 1995 gawanya kwa mateka 20 utapata jibu mateka mmoja wa kiyahudi ni sawa na Miarabu mingapi!!!Yameshindwa nni na mmeachia magaidi zaidi ya elfu 1 na utawala wa Gaza umerudi kwa Hamas!!
Embicile