Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amekiri moto wa Hamas ni mkali

Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amekiri moto wa Hamas ni mkali

Heading ya Uzi Ndio Salamu za Waziri mkuu wa Israel mh Netanyahu kuelekea Mwaka Mpya kwa Wapenda Amani duniani kote

Netanyahu amesema Dunia inayokuja haina sehemu ya kupumulia Magaidi

Source Al jazeera news
Sasa anakiri Hamas ni ngoma nzito, mwambieni kuna wengine hao wameibuka wanaitwa The Ghosts.

Kama hawatoshi, mwambieni sasa Hezbollah imeongeza mashambulizi, leo imesambaratisha kituo kizima cha kijeshi, jionee:

 
Baada ya kutembelea Ghaza kwa kujificha ficha, waziri mkuu wa mazayuni, netanyau, anaweza kutangaza kujiondowa Ghaza wakati wowote.

Kimbembe anachokumbana nacho si kidogo, mabwana zake walimpa mpaka mwisho wa mwezi awe amemaliza kazi waliyomtuma, akimaliza asimalize aondoke Ghaza.

Kwa upande mwingine, Wayemeni wameongeza mashambulizi, juu huko Kaskazini Hezbollah nao usiseme.

Habari mpya ni kuwa watemi wa Marekani Taliban, wameshapewa rukhsa kuingia kimya kimya Iran watafutiwe njia ya kupelekwa front.

Wayemeni nao 20,000 wapo tayari kuelekea Ghaza mdogo mdogo.

Moto unaomuwakia, akipenda asipende inabidi ajitowe tu. Hivi anaomba kupitia Qatar na Wanisri, kuwa wawaambie Hamas wasimamishe mashambulizi wakati wanajiondowa. Hamas kashikilia uzi ule ule, mpaka waondoke na wawawachie wafungwa wotw ndiyo watasimamisha mashambulizi.

 
Back
Top Bottom