Wayahudi wakristo wapo tatizo lako umeaminishwa vibaya huko kwenye Masjid-Ubwabwa!!
Kwa akili yako kiduchu unapingana na Netanyahu ambaye anaongea nao?Wayahudi wanadini yao ya asili inaitwa "Judaism". Hao wayahudi wakristo ni wayahudi wa kimapokeo.
Huo ukristo uliwakuta Wayahudi tayari wana dini yao ya asili.
Hizo dini zenu, zote mbili ni dini za kuja.
Yani watu waliletewa dini hizo.
Sisi makobaz akili hatuna. Tuna mihemko tuWaziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na wanajeshi Wakristo na makamanda kutoka kwa vitengo mbal8mbali vya IDF. Maelezo muhimu kutoka kwa kauli yake:
Hili ni kinyume kabisa na kile kinachoenezwa huko nje. Sio tu kwamba Israeli inapigania haki za Wakristo kote Mashariki ya Kati, bali pia kwamba Israeli ina wanajeshi Wakristo wanaopigania ulinzi wa Israeli na ndugu zetu Wakristo kote katika eneo hilo, kote katika eneo hilo na kwingineko.
Sasa atatokea Mmatumbi mwenzangu atajifanya yeye anawajua sana wayahudi kuliko wanavyojijua wenyewe
View attachment 3579875
Huna sera dada.Kwa akili yako kiduchu unapingana na Netanyahu ambaye anaongea nao?
Kuna uwezekano hujui kiingereza ambacho Netanyahu anaongea sasa tutamshauri awe anaongea kiarabu na wewe Mwarabu-koko uwe unaelewa!!
Huko kwenye Masjid-Ubwabwa mnadanganyana sana tu!!
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na wanajeshi Wakristo na makamanda kutoka kwa vitengo mbal8mbali vya IDF. Maelezo muhimu kutoka kwa kauli yake: