Waziri Mkuu wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhesh Kassimu Majaliwa Kassimu Atembelea Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Uhuru Inayojengwa Chamwino

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Hakuna muda wa kulala

Hakuna muda wa kupoteza

Serikali Ya CCM imeamua na haitaki kuwaangusha Watanzania

Waziri Mkuu ametoa siku 15 kwa mamlaka husika ikiwemo SUMA JKT, Wakala wa Majengo ( TBA) na Halmashauri ya Chamwino kukamilisha Ujenzi wa Hospitali hiyo

Matumizi sahihi ya Rasilimali huleta matokeo sahihi kwetu sote
 
Attachments

  • FB_IMG_16058848389975439.jpg
    21.2 KB · Views: 2
  • FB_IMG_16058848336583124.jpg
    27.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_16058848267932759.jpg
    20.8 KB · Views: 2
  • FB_IMG_16058848206941089.jpg
    22.7 KB · Views: 2
Hii hospitali itaisha lini, maana imebaki pakuchukulia ujiko tu Ila haifunguliwi wala nn, kama ile nyingine kule Mara na stendi ya pale mbezi.
Stories nyiiingi vitendo hafifu.
 
Umesahau SGR. Ilikua ifike Moro 2019 Nov. Leo Ni 2020. Nov.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…