Wiki hii iliyopita waziri mkuu wa jimbo la Quebec la kanada alifanya press conference kuzungumzia masuala ya ugonjwa huu.
Alionekana akitoa ishara ya kimasoni kabla ya mkutano kuanza.
Your browser is not able to display this video.
Nini maana yake?
Hapa chini anaonekana amefumba jicho moja.
Je, ana chongo?
Anaumwa jicho?
Hapana.
Hiyo ni alama nyingine ya kimasoni.
Ni sawa na hizi hapa:
KITENDAWILI?
Je, huyu ni nani?
Je, anaumwa jicho?
Anaogopa mwanga?
Je, ninachotaka kusema ni nini?
Jua aina ya watu tunaokabiliana nao sisi kama human species.
Dunia inaendelea kupangwa;
And not in a good way AT ALL.
Hoja yako ni ya msingi, lakini hebu tumia information hii kama kichocheo cha kusaka taarifa zaidi. Mimi siwezi kukueleza KILA KITU. Ukifanya hivyo, utashangazwa na utakayokutana nayo. Mfano, video hii ni ndefu sana, lakini ukijipa moyo ukaizikiliza hadi mwisho, utajua mambo ambayo yatabadili mtazamo wako maisha yako yote. Utakuwa kama umetoa blangeti machoni. Kwa hiyo, ni wewe tu mkuu. Kejeli hazimsaidii yeyote. Hata Dead Man na Consigliere nanyi nawachallenge pia kutazama video hii
Hoja yako ni ya msingi, lakini hebu tumia information hii kama kichocheo cha kusaka taarifa zaidi. Mimi siwezi kukueleza KILA KITU. Ukifanya hivyo, utashangazwa na utakayokutana nayo. Mfano, video hii ni ndefu sana, lakini ukijipa moyo ukaizikiliza hadi mwisho, utajua mambo ambayo yatabadili mtazamo wako maisha yako yote. Utakuwa kama umetoa blangeti machoni. Kwa hiyo, ni wewe tu mkuu. Kejeli hazimsaidii yeyote. Hata Dead Man na Consigliere nanyi nawachallenge pia kutazama video hii ----
Umaskini utatoka siku tukimjua adui yetu ambaye ni yule anayekukopesha na unaanza kulipa madeni toka kizazi hadi kizazi. Lakini pia unamsikiliza kwa kila kitu na hutaki kufungua mawazo yako ujione kuwa unaweza - kama alivyoanza kutufungua Magufuli.
Imepokewa kutoka kwa ‘Ubaadah bin as-Swaamit (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Nimekuelezeni mengi mno kuhusu Dajjaal na kwamba (bado) ninahofia hamutafahamu. Atakuwa ni mwenye jicho moja, jicho lake likiwa halijatokeza nje wala halijazama. Iwapo mutapata utata kuhusiana naye, basi kumbukeni kwamba Mola wenu sio mwenye jicho moja.”
[Abu Daawuud. Hadiyth hii ni sahihi – Swahiyhul-Jaami’ as-Swaghiyr]
##########
imepokewa kutoka kwa Ibn ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhuma) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amelitaja (jina la) Dajjaal kwa watu na kusema: “Allaah Hana jicho moja, lakini Masiyh wa uongo (al-Masiyhud-Dajjaal) ni mwenye jicho moja (chongo), kipofu na mlemavu kwenye jicho lake la kulia, na jicho lake likionekana kama ni zabibu inayoogelea...”
[Imepokewa na Al-Bukhaariy
Sisi tumeshataadharishws nae huyo hizo shamra shamra zao wazungu tu kumpokea
Katika riwaya nyingine Atapokelewa na Wayahudi 72 elfu watamuwekea capert jekundu....!