Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Nilikupata vyema kwenye hiyo mada tajwa, ikikupendeza, weka uzi ambao utakuwa unashusha madini huko na ku-update kwa kila jipya na muelekeo wake, natumai wale tulio na interest na hayo mavitu tunajiunga na pengine magwiji wengi watatoa hoja na mijadala yenye afya, sio mbaya wakipatikana na wanasayansi wabobevu huko, kama yule Prof wa OUT, nadhani yumo humu na huwa anatoa elimu ya sayansi ya anga, nimesahau jina lake, akiwa mualikwa kwa mada kadhaa na opinions zake kisayansi, itasaidia kufufua hizi bongo zetu zilizolala, zenye kuwaza weekends na kulana kimasikhara.Maswali hayo yote ndiyo central questions kabisa. Na majibu yake ni NDIYO. Isipokuwa swali la 2, eneo linaweza kuwa na kiongozi wake lakini One World Government itakuwa na mkubwa mmoja tu. Na umoja wa mataifa ndio itakuwa serikali kuu, huku jeshi lake likipewa uwezo wa kuwa deployed kokote duniani.
Ndio maana jambo kubwa wanalofanya sasa ni kubaini IDENTITY ya kila mwanadamu, ili wawe na uwezo wa kuku-track kokote uliko. Unaweza kusoma hapa ID2020 | Digital Identity Alliance
Fedha zitakazokuwepo ni cryptocurrency. Ndio maana ya patent ya bill gate WO2020060606 unayoweza kuisoma hapa - WO2020060606 CRYPTOCURRENCY SYSTEM USING BODY ACTIVITY DATA
Kwa kifupi hiyo itakuwa ni a totalitarian government kama unavyoona ya Korea ya kaskazini au china au ilivyokuwa nchi za kikomunisti.