Waziri Mkuu wa Quebec na alama ya Kimasoni

Nilikupata vyema kwenye hiyo mada tajwa, ikikupendeza, weka uzi ambao utakuwa unashusha madini huko na ku-update kwa kila jipya na muelekeo wake, natumai wale tulio na interest na hayo mavitu tunajiunga na pengine magwiji wengi watatoa hoja na mijadala yenye afya, sio mbaya wakipatikana na wanasayansi wabobevu huko, kama yule Prof wa OUT, nadhani yumo humu na huwa anatoa elimu ya sayansi ya anga, nimesahau jina lake, akiwa mualikwa kwa mada kadhaa na opinions zake kisayansi, itasaidia kufufua hizi bongo zetu zilizolala, zenye kuwaza weekends na kulana kimasikhara.
 
Itakuwa ni jambo jema sana kama mawazo zaidi yatachangiwa kwa kweli. Vinginevyo huko tuendako si pazuri sana, maana wale wenzetu kile wanachosema kwa nje wanatumia lugha nzuri sana, lakini maana ya ndani ni hatari vibaya mno. Ukisikia malengo ya milenia au sustainable development unasema watu si ndio hawa? Hakuna kitu humo, ni mipango ya siri tupu iliyojaa uovu kupita maelezo ----- ukisoma na kusikiliza hapa utakachopata ndio HASA maana yake --- NOW MADE PUBLIC—AGENDA 2030 SECRETS THEY DARE NOT REVEAL… | "Global Possibilities"
 
Hayo yanakuhusu moja kwa moja wewe na mimi maana lengo la hawa watu ni kuwa na ONE WORLD GOVERNMENT - ndio maana ya Agenda 2030 ya umoja wa mataifa.
Kwahiyo unataka nami nitishwe namambo ya kufikirika?. Kama unazungumzia NEW WORLD ORDER" ndiyo hii iliyopo sasa: Tunaishi mtindo mpya wa maisha kulingana na haliiliyopo. Hakuna jambo la ajabu hapa na usitishe watu. Mimi natishika na mabadiliko yaliyotokea katika baraza la mawaziri na si vinginevyo maana mara nyingine mabadiliko yanaweza kuigawanya nchi vipandevipande
 
sawa
 
Nimeona clip ya fox TV anahojiwa mwakinyo na kaweka ishara kama hiyo hiyo ya huyo waziri
 
Nimeona clip ya fox TV anahojiwa mwakinyo na kaweka ishara kama hiyo hiyo ya huyo waziri
Kuna wengi sana (hasa vijana) ni mambo ya kuiga tu. Wanaona ni swaga lakini wahusika wanapofanya hivi huwa hawaigizi bali wanawasiliana. Sio kila mwenye silaha lazima awe mlinzi au askari, wengine ni majambazi - lakini naye ana silaha
 
Kuna wengi sana (hasa vijana) ni mambo ya kuiga tu. Wanaona ni swaga lakini wahusika wanapofanya hivi huwa hawaigizi bali wanawasiliana. Sio kila mwenye silaha lazima awe mlinzi au askari, wengine ni majambazi - lakini naye ana silaha
Maana yangu tusizungumze wa nje wakati ndani tunao pia wafuasi.
Unataka kusema tz hakuna mason
 
Maana yangu tusizungumze wa nje wakati ndani tunao pia wafuasi.
Unataka kusema tz hakuna mason
Ni kweli mason wako duniani kote, lakini asilimia 90 ya hao:
1. wanatumiwa tu na hawajui kinachoendelea
2. hawamo kwenye kilele cha pyramid


Kwenye kilele ndiko waliko wakongwe wenyewe wanaoendesha uovu wote mkubwa na wa kimataifa kwenye dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…