Mwaka huu mbio za Mwenge zilianzia Zanzibar.Ulishawai kuona mwenge ukienda zanzibar?
Mara ya mwisho lini ulisoma Katiba ya Tanzania?Inakuaje sasa raia wake wanatawala Tanganyika?
Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba?
Hii nafasi ya waziri mkuu wa Tanzania mamlaka yake yakoje katika nchi ?