The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hili swala linafikirisha..
Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ametoka hadharani na kutetea sera za Uchumi za Serikali yake zilizowasilishwa na Waziri wake wa Fedha Kwasi Kwarteng..
Kwarteng aliwasilisha mpango wa kufufua uchumi ulioainisha msururu wa kukata Kodi Ili kuvhochea uchumi..
Unfortunately mapendekezo hayo yamechochea mtafaruku wa Soko la Fedha huku IMF ikiitaka Uingereza kuachana na huo mpanga ikionya kwamba itasababisha mfumuko wa bei zaidi na kuzidi kuharibu Uchumi..
Kwarteng yuko kwenye shinikozo la kuachia ngazi.👇
View attachment 2372297View attachment 2372298