The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Huu ni ujinga ulijiongezea au uliongezewa?Hahaha......!
Ukiona waziri wa fedha anatetewa na bosi wake ujue uwezo wake ni mdogo
Bora wao wanapunguza kodi huku tunachunwa ngozi tuHili swala linafikirisha..
Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ametoka hadharani na kutetea sera za Uchumi za Serikali yake zilizowasilishwa na Waziri wake wa Fedha Kwasi Kwarteng..
Kwarteng aliwasilisha mpango wa kufufua uchumi ulioainisha msururu wa kukata Kodi Ili kuvhochea uchumi..
Unfortunately mapendekezo hayo yamechochea mtafaruku wa Soko la Fedha huku IMF ikiitaka Uingereza kuachana na huo mpanga ikionya kwamba itasababisha mfumuko wa bei zaidi na kuzidi kuharibu Uchumi..
Kwarteng yuko kwenye shinikozo la kuachia ngazi.👇
View attachment 2372296View attachment 2372297View attachment 2372298
Tanzania sio kisiwa.sio swala la kufikrisha wala nn na pia hii sio njia ya watz wasimseme waziri wa fedha ata km raisi amtetee waziri wake. ukweli ni kwamba tunatofautia sana kwenye mifumo ya kiongozi na hali za maisha ya wananchi.... uingereza acha iitwe uingereza Tanzania acha iitwe Tanzania
This is very bad na sio kukosea unakuta ni maelekezo ya huyo huyo kiongozi ambae anaonekana as if ni Malaika.Tz ukipatia sifa zote kwa kiongozi, mkikosea lawama zote kwako
Sahihi sana.Tz ukipatia sifa zote kwa kiongozi, mkikosea lawama zote kwako
Hahaha......!
Ukiona waziri wa fedha anatetewa na bosi wake ujue uwezo wake ni mdogo
Sio kila kupunguza Kodi ni afya,kwa Tanzania hii ambayo watu hawalipi Kodi kulikuwa na ulazima wa tozo.Bora wao wanapunguza kodi huku tunachunwa ngozi tu
Wewe tozo sio mbaya lkn sio tozo umiza.Sio kila kupunguza Kodi ni afya,kwa Tanzania hii ambayo watu hawalipi Kodi kulikuwa na ulazima wa tozo.
Anajitetea na boss wake anamtetea maana sio kwamba yeye huwa anaamua kwa utashi wake.Sasa msomi kama Mwigullu Nchemba atetewe na nani zaidi ya kujitetea mwenyewe?
We UVCCM usijekuwa ndio unayetafutwa na Genta!
Uingereza na Tanzania ni vitu viwili tofauti kule mtawala akisakamwa anajiuzuru huku kwenue akisakama anatisha na kufunga jela wananchiHili swala linafikirisha..
Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ametoka hadharani na kutetea sera za Uchumi za Serikali yake zilizowasilishwa na Waziri wake wa Fedha Kwasi Kwarteng..
Kwarteng aliwasilisha mpango wa kufufua uchumi ulioainisha msururu wa kukata Kodi Ili kuvhochea uchumi..
Unfortunately mapendekezo hayo yamechochea mtafaruku wa Soko la Fedha huku IMF ikiitaka Uingereza kuachana na huo mpanga ikionya kwamba itasababisha mfumuko wa bei zaidi na kuzidi kuharibu Uchumi..
Kwarteng yuko kwenye shinikozo la kuachia ngazi.👇
View attachment 2372296View attachment 2372297View attachment 2372298
Kama naanza kukuelewa taratibu, Jambo lenye nia njema ni la kupongezwa. Big up Mkuu.Huu ni ujinga ulijiongezea au uliongezewa?