Waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apelekwa chumba cha watu mahututi ICU

Acha zako wewe, mbona ebola imeanzia huku afrika na bado wanatutafutia kinga au kuna magonjwa Mangapi yanaanzia huku africa na bado wanatutafutia dawa
Sisi ngozi nyeusi ni wanafiq sana.
 
Akil ya kitumwa usiwakubal viongoz wako umkubal mtu wa huko kisa mweupe itakua mkenya we maana wekenya pekeyao ktk ukanda huu ndio wenye akil hiz
Inatia huruma Sana,nilikua namkubali Sana huyu jamaa,,
Yaani inatakiwa viongozi wapunguze mikutano,huu ugonjwa ukikita mizizi haujali wewe Ni bilionea,general ama kapuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti mi namkubali kwel huyu jamaa, badala ya kumkubali Kenyatta ,fikra za kitumwa zimewachota kweli wakenya cjui sababu wanabonga bonga kizungu ndio maana nao wanajiona wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nikahisi una matatizo kichwani au stress zimekubana za maisha maana unabwatuka tub bila break,,sasa Boris anahusishwa vipi na marekani Kama marekani walishangilia corona kuwepo China?.
Lazima uwe specific ,kiufupi borisi Yuko moderate kuliko viongozi wa uingereza waliopita na alikua anafocuss kwenye ishu za ndani za UK kuliko PM wengine walikuwa wakifuata mkumbo kill anachoamua marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…