Waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apelekwa chumba cha watu mahututi ICU

Waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apelekwa chumba cha watu mahututi ICU

Hali yake imeanza kuimarika
Hali ya huku tuombeeni tu maana daa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cheo cha makamu hakipo ila waziri wake wa mambo ya nje ambae ni myahudi Dominic Raab ndie anaekaimu nafasi ya waziri mkuu.

Bwana Boris Johnson amelazwa hiyo ICU kwenye hospitali ya mtakatifu Thomas.

Hospitali hiyo ndio aliolazwa hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere mwaka 1999.

Katika kipindi hiki cha kwaresima, tumwombee bwana Boris Jonson apate nafuu haraka ili arudi kuendesha nchi ya Uingereza ambayo uchumi wake waelekea kudorora vibaya sana.
Nimuombee ili iweje Sina hata udugu nae Sina kazi ya kufanya Kama ni sala si Bora nimuombee Rais wangu magufuli hata Kama simpendi .....[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom