Cheo cha makamu hakipo ila waziri wake wa mambo ya nje ambae ni myahudi Dominic Raab ndie anaekaimu nafasi ya waziri mkuu.
Bwana Boris Johnson amelazwa hiyo ICU kwenye hospitali ya mtakatifu Thomas.
Hospitali hiyo ndio aliolazwa hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere mwaka 1999.
Katika kipindi hiki cha kwaresima, tumwombee bwana Boris Jonson apate nafuu haraka ili arudi kuendesha nchi ya Uingereza ambayo uchumi wake waelekea kudorora vibaya sana.