Waziri mkuu wa Uingereza bwana Sunak awasili Kyev, Ukraine

Waziri mkuu wa Uingereza bwana Sunak awasili Kyev, Ukraine

Sasa hivi wamegeuka, ni mabepari wakubwa kabisa kupitia mfumo mchafu wa Oligarchs
Hawa warusi wapumbavu walimtia ujinga wa itikadi za ujamaa mzee wangu akawa mpuuzi akaleta umaskini katika familia. Sitaki kuwasikia hawa mbuzi. Mzee akawa fala tu.
 
Mbona wale ma-imam waga wanashangilia sana mabadiliko ya mawaziri wakuu nchini Uingereza, waga wanafikiri anayekuja ataacha kuiunga mkono Ukraine lakini wapi.

Ma-imam hawajui sera ya nje ya nchi za magharibi na wanafikiri kuna siku atakuja atakaeikana serikali ya Israel hata huyo dikteta Putin wanaye msujudu kwa Israel anapiga break.
 

Attachments

  • EBA10800-63ED-4103-8857-8B8956242475.jpeg
    EBA10800-63ED-4103-8857-8B8956242475.jpeg
    10.6 KB · Views: 3
  • 85EC1EFD-93C2-4DB6-AE91-15DF9F0F83DB.jpeg
    85EC1EFD-93C2-4DB6-AE91-15DF9F0F83DB.jpeg
    45.7 KB · Views: 3
  • 237448B7-1B55-4887-8890-311166BF72C6.jpeg
    237448B7-1B55-4887-8890-311166BF72C6.jpeg
    17.7 KB · Views: 3
  • 6E3A1293-BF85-4620-B3EA-EE9061608392.jpeg
    6E3A1293-BF85-4620-B3EA-EE9061608392.jpeg
    35.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom