Mbona wale ma-imam waga wanashangilia sana mabadiliko ya mawaziri wakuu nchini Uingereza, waga wanafikiri anayekuja ataacha kuiunga mkono Ukraine lakini wapi.
Ma-imam hawajui sera ya nje ya nchi za magharibi na wanafikiri kuna siku atakuja atakaeikana serikali ya Israel hata huyo dikteta Putin wanaye msujudu kwa Israel anapiga break.