Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer atangaza kupunguza misaada kutoka Uingereza kwenda nchi nyingine

Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer atangaza kupunguza misaada kutoka Uingereza kwenda nchi nyingine

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Serikali ya Uingereza imetangaza kupunguza bajeti ya misaada ya maendeleo ya kigeni kutoka asilimia 0.5 hadi asilimia 0.3 ya Pato la Taifa (GNI). Waziri Mkuu Sir Keir Starmer aliliambia bunge Jumanne kwamba hatua hiyo inalenga kuongeza matumizi ya sekta ya ulinzi.

Starmer alieleza amefanya maamuzi magumu na yenye uchungu, lakini akasisitiza kuwa kipaumbele cha serikali yake kwa sasa ni kwenye sekta ya ulinzi.

Aliahidi kufanya jitihada za kurejesha uwezo wa maendeleo licha ya kupunguzwa kwa bajeti hiyo.

Licha ya kupunguza misaada ya maendeleo, Uingereza itaendelea kushiriki katika juhudi za kibinadamu nchini Sudan, Ukraine na Gaza.

Mashirika ya misaada yameeleza wasiwasi wao kuhusu athari za uamuzi huo. UNICEF UK imeonya kuwa mamilioni ya watoto watakosa huduma muhimu za afya, chakula na elimu, jambo ambalo litahatarisha maisha yao hasa katika kipindi cha ongezeko la ukosefu wa usalama duniani.

Serikali ya Uingereza inapanga kuongeza bajeti ya ulinzi hadi asilimia 2.5 ya Pato la Taifa ifikapo Aprili 2027, hatua inayotekelezwa mapema kwa miaka mitatu kuliko ilivyopangwa awali.

Katika mpango wake wa mabadiliko, Waziri Mkuu Starmer ameahidi kufikisha matumizi ya ulinzi hadi asilimia 3 katika muhula ujao wa bunge.

keir starmer.png

==========================================================

Britain is to cut its foreign development assistance funding from 0.5% of its Gross National Income (GNI) down to 0.3%, Prime Minister Sir Keir Starmer told the parliament on Tuesday. The cut is necessary in order to increase spending on defense, he stated.

The move requires “extremely difficult and painful choices,” Starmer said, referring to the aid cut. “That is not an announcement I am happy to make,” the prime minister told MPs, vowing to “do everything we can” to “rebuild a capability on development.” He still maintained that defense was “the number one priority of this government.”

According to Starmer, the UK would still “continue to play a humanitarian role in Sudan, in Ukraine and Gaza.”

“These cuts will mean millions of children not having access to critical health care, not having enough to eat, and missing out on their learning. At a time of increased global insecurity and instability, this decision will undoubtedly risk lives,”
said Dr Philip Goodwin, the CEO of UNICEF UK, the British chapter of the agency providing humanitarian and developmental aid to children worldwide.

London plans to raise its defense expenditures to 2.5% of its GDP by April 2027 – three years earlier than previously planned – under Starmer’s Plan for Change, according to a government statement. The prime minister also vowed to increase the spending to 3% of GDP in the next parliament, citing “global instability,” the Ukraine conflict, “increasing threats from malign actors” and climate change, according to his office.

The definition of defense spending will be expanded to include security and intelligence agencies, bringing total expenditures under the article to 2.6% of GDP, according to the statement.

Source: The Guardian
 
Kuna miradi ya maji vijijini inayoendeshwa na UK-AID. Kwa maana hiyo inakwenda kusimama?

Kichekesho kiko hapa,
Mradi mmoja wa kisima unagharimu Tsh. Milioni 122 ila hivi vijiji tokea uhuru serikali ilishindwa peleka maji hadi UK-AID walivyojitokeza kuleta ukombozi

Gharama ya V8 moja la fisadi inaweza komboa vijiji vinne na shida ya maji ikabaki historia, ila kwakuwa sio kipaumbele chetu, acha tulie "UK amesitisha misaada"
 
Wenzao wanapunguza matumizi. Huku wanaponda hela ya mlipa kodi bila aibu! Ma V8, misafara mikubwa, masherehe, maposho, masafari, hata hawajali matumizi ya hela ya raia!
 
Kuna mtu kasababisha😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna mtu kasababisha😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna mtu kasababisha😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna mtu kasababisha
 
Kuna miradi ya maji vijijini inayoendeshwa na UK-AID. Kwa maana hiyo inakwenda kusimama?

Kichekesho kiko hapa,
Mradi mmoja wa kisima unagharimu Tsh. Milioni 122 ila hivi vijiji tokea uhuru serikali ilishindwa peleka maji hadi UK-AID walivyojitokeza kuleta ukombozi

Gharama ya V8 moja la fisadi inaweza komboa vijiji vinne na shida ya maji ikabaki historia, ila kwakuwa sio kipaumbele chetu, acha tulie "UK amesitisha misaada"
Kwa mwaka huu wa fedha, bajeti ya kununua magari ni Bilioni 800. Hayo lazima zitanunuliwa tu. Watu walilalamika bajeti kubwa ya magari lakini rais alitetea na kusema magari lazima yanunuliwe, whether mnataka ama hamtaki.

Hela ya matumizi yasio ya msingi zipo za kutosha, za maendeleo hakuna, tunasubiri za misaada ya watu wa Marekani na Ulaya.

Bajeti inatengwa, 70% ni matumizi ya kawaida, 30% za maendeleo. Hixo 30% kwa mwaka zinaweza kupelekwa 10 ama 15 tu ila kwenye matumizi, hutumika hata zaidi ya 70% iliyopangwa.
 
Kuna miradi ya maji vijijini inayoendeshwa na UK-AID. Kwa maana hiyo inakwenda kusimama?

Kichekesho kiko hapa,
Mradi mmoja wa kisima unagharimu Tsh. Milioni 122 ila hivi vijiji tokea uhuru serikali ilishindwa peleka maji hadi UK-AID walivyojitokeza kuleta ukombozi

Gharama ya V8 moja la fisadi inaweza komboa vijiji vinne na shida ya maji ikabaki historia, ila kwakuwa sio kipaumbele chetu, acha tulie "UK amesitisha misaada"
V8 Moja la Fisadi Hahahaa Yani Hizi Nchi Za Kijinga Sanaaa
 
Kuna miradi ya maji vijijini inayoendeshwa na UK-AID. Kwa maana hiyo inakwenda kusimama?

Kichekesho kiko hapa,
Mradi mmoja wa kisima unagharimu Tsh. Milioni 122 ila hivi vijiji tokea uhuru serikali ilishindwa peleka maji hadi UK-AID walivyojitokeza kuleta ukombozi

Gharama ya V8 moja la fisadi inaweza komboa vijiji vinne na shida ya maji ikabaki historia, ila kwakuwa sio kipaumbele chetu, acha tulie "UK amesitisha misaada"
Kazi nzuri apa sasa Akili za viongozi zitachangamka
 
Back
Top Bottom