jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mpaka tuseme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nawe unapumbazwa sana na wanasiasa.Magu alikuwa mbele ya muda sana...
Jamaa alikuwa kama TIME TRAVELLER...
Sasa bibi vikoba ataenda kuhemea wapi sasa?Magu alikuwa mbele ya muda sana...
Jamaa alikuwa kama TIME TRAVELLER...
Wewe nawe unapumbazwa sana na wanasiasa.
Nani alikwambia Magu alikuwa haombi misaada na kukopa?
Alichokuwa anafanya anakopa na kuomba misaada kimya kimya huku akiwadanganya wafuasi wa ndiyo mzee kwamba tunajitegemea.
Nenda kwenye takwimu za deni la taifa kipindi akiwa madarakani halafu utapata mchanganuo wa madeni na msaada kutoka nje.
Tofauti na wengine wanaokopa na kuomba misaada hadharani , yeye alikuwa anakopa gizani halafu akiwa majukwaani anazungumza kingine huku akishangiliwa na watu aina yako.
Hiyo ndiyo siasa inategemea tu na aina ya propaganda aliyochagua kuishi nayo. Shtuka mkuu usiwaamini wanasiasa wote.
Naunga hoja.Hata wewe inapaswa tusikuamini, kwa maana unakaririshwa mambo, kama una-exactly proof ya hicho ulichokisema weka hapa JF. Siku zote mfanya maendeleo, hapendwi bali mnapenda wajinga na mafisadi.
Shida ya Watanzania mazuzu ni moja tu, wambie ukweli nao wataupinga mpaka mwisho wa Dunia, maana walishazoe kudanganywa.
Hayo magari Lc vx v8 hatuwezi kuacha kuyanunua. Yanalandana na hadhi ya viongozi wetu.Cha kufanya serikali ipunguze bajeti ya kununua magari ya kifahari kama mashangingi ya V8 na ufahari mwingine ili fedha hizo ziende kwenye miradi ya maendeleo ya wananchi. Uimarishwaji wa mapato yatokanayo na rasilimali za Taifa Kama migodi na vivutio vya utalii, kuachana na mentality ya kutegemea misaada ya nchi wahisani na wafadhili wa miradi mbalimbali na kujijengea mazoea ya kujitegemea
Tuunde TZAID na Boss awe KafyulilaWale wazee wa kitonga na tusiopenda kujitegemea mambo yanazidi kuwa magumu! Akili itakuja tu!
Starmer announces big cut to UK aid budget to boost defence spending
Keir Starmer has announced drastic cuts to Britain’s international aid budget to help pay for a major increase in defence spending, amid fears over Donald Trump’s commitment to European security.
Tue 25 Feb 2025
starmer-planning-big-cuts-to-aid-budget-to-boost-defence-spending-say-sourcesPolitics | The Guardian
www.theguardian.com
25 Feb, 2025 19:05
![]()
UK to cut international aid to increase defense spending – Starmer
The UK has announced plans to cut its foreign aid in the name of increasing total defense spending to 2.6% of its GDP by 2027www.rt.com
Qummar nyokoryz wewwzzzHayo magari Lc vx v8 hatuwezi kuacha kuyanunua. Yanalandana na hadhi ya viongozi wetu.
Viongozi wetu siyo wa kutumia mikokoteni kama Rumion, au passo au sijui vitz.. hapana haiwezekani kabisa.
Waje na EUWale wazee wa kitonga na tusiopenda kujitegemea mambo yanazidi kuwa magumu! Akili itakuja tu!
Starmer announces big cut to UK aid budget to boost defence spending
Keir Starmer has announced drastic cuts to Britain’s international aid budget to help pay for a major increase in defence spending, amid fears over Donald Trump’s commitment to European security.
Tue 25 Feb 2025
starmer-planning-big-cuts-to-aid-budget-to-boost-defence-spending-say-sourcesPolitics | The Guardian
www.theguardian.com
25 Feb, 2025 19:05
![]()
UK to cut international aid to increase defense spending – Starmer
The UK has announced plans to cut its foreign aid in the name of increasing total defense spending to 2.6% of its GDP by 2027www.rt.com
Utukane, ulie, urukeruke haitabadilisha maamuzi yetu.Qummar nyokoryz wewwzzz
Can you imagine !!!! Maji, Matundu ya vyoo.....N.K.Kuna miradi ya maji vijijini inayoendeshwa na UK-AID. Kwa maana hiyo inakwenda kusimama?
Kichekesho kiko hapa,
Mradi mmoja wa kisima unagharimu Tsh. Milioni 122 ila hivi vijiji tokea uhuru serikali ilishindwa peleka maji hadi UK-AID walivyojitokeza kuleta ukombozi
Gharama ya V8 moja la fisadi inaweza komboa vijiji vinne na shida ya maji ikabaki historia, ila kwakuwa sio kipaumbele chetu, acha tulie "UK amesitisha misaada"
UK wako underpressure sababu ya ukraine war, for so long hahawekeza kwenye jeshi lake. Sasa ndio anataka kufanya hivyo sababu US practicaly wanaelekea kujitoa NATOWale wazee wa kitonga na tusiopenda kujitegemea mambo yanazidi kuwa magumu! Akili itakuja tu!
Starmer announces big cut to UK aid budget to boost defence spending
Keir Starmer has announced drastic cuts to Britain’s international aid budget to help pay for a major increase in defence spending, amid fears over Donald Trump’s commitment to European security.
Tue 25 Feb 2025
starmer-planning-big-cuts-to-aid-budget-to-boost-defence-spending-say-sourcesPolitics | The Guardian
www.theguardian.com
25 Feb, 2025 19:05
![]()
UK to cut international aid to increase defense spending – Starmer
The UK has announced plans to cut its foreign aid in the name of increasing total defense spending to 2.6% of its GDP by 2027www.rt.com
Kuna watu hawaelewi, wanakuambia bado deni ni himilivuMagu alikuwa mbele ya muda sana...
Jamaa alikuwa kama TIME TRAVELLER...
Hii ni habari mbaya sana Kwa mama Kizimkazi na serikali yake omba ombaWale wazee wa kitonga na tusiopenda kujitegemea mambo yanazidi kuwa magumu! Akili itakuja tu!
Starmer announces big cut to UK aid budget to boost defence spending
Keir Starmer has announced drastic cuts to Britain’s international aid budget to help pay for a major increase in defence spending, amid fears over Donald Trump’s commitment to European security.
Tue 25 Feb 2025
starmer-planning-big-cuts-to-aid-budget-to-boost-defence-spending-say-sourcesPolitics | The Guardian
www.theguardian.com
25 Feb, 2025 19:05
![]()
UK to cut international aid to increase defense spending – Starmer
The UK has announced plans to cut its foreign aid in the name of increasing total defense spending to 2.6% of its GDP by 2027www.rt.com
Hawajaiga, ila europe wako underpressure baada ya msimamo wa US juu ya ukraine. wanataka wa fund majeshi yao vilivyo kuisaidia ukraine sinse US ameshajitoaUKAID? wanaigana hawa! Bado DANIDA, SIDA, NORWEGIAN AID, JICA, KOICA, CANADIAN AID nao wataiga USAIID