Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer atangaza kupunguza misaada kutoka Uingereza kwenda nchi nyingine

Magu alikuwa mbele ya muda sana...

Jamaa alikuwa kama TIME TRAVELLER...
Wewe nawe unapumbazwa sana na wanasiasa.

Nani alikwambia Magu alikuwa haombi misaada na kukopa?

Alichokuwa anafanya anakopa na kuomba misaada kimya kimya huku akiwadanganya wafuasi wa ndiyo mzee kwamba tunajitegemea.

Nenda kwenye takwimu za deni la taifa kipindi akiwa madarakani halafu utapata mchanganuo wa madeni na msaada kutoka nje.

Tofauti na wengine wanaokopa na kuomba misaada hadharani , yeye alikuwa anakopa gizani halafu akiwa majukwaani anazungumza kingine huku akishangiliwa na watu aina yako.

Hiyo ndiyo siasa inategemea tu na aina ya propaganda aliyochagua kuishi nayo. Shtuka mkuu usiwaamini wanasiasa wote.
 
Cha kufanya serikali ipunguze bajeti ya kununua magari ya kifahari kama mashangingi ya V8 na ufahari mwingine ili fedha hizo ziende kwenye miradi ya maendeleo ya wananchi. Uimarishwaji wa mapato yatokanayo na rasilimali za Taifa Kama migodi na vivutio vya utalii, kuachana na mentality ya kutegemea misaada ya nchi wahisani na wafadhili wa miradi mbalimbali na kujijengea mazoea ya kujitegemea
 
Hata wewe inapaswa tusikuamini, kwa maana unakaririshwa mambo, kama una-exactly proof ya hicho ulichokisema weka hapa JF. Siku zote mfanya maendeleo, hapendwi bali mnapenda wajinga na mafisadi.

Shida ya Watanzania mazuzu ni moja tu, wambie ukweli nao wataupinga mpaka mwisho wa Dunia, maana walishazoe kudanganywa.​
 
Naunga hoja.
 
Cha kufanya serikali ipunguze bajeti ya kununua magari ya kifahari kama mashangingi ya V8 na ufahari mwingine ili fedha hizo ziende kwenye miradi ya maendeleo ya wananchi. Uimarishwaji wa mapato yatokanayo na rasilimali za Taifa Kama migodi na vivutio vya utalii, kuachana na mentality ya kutegemea misaada ya nchi wahisani na wafadhili wa miradi mbalimbali na kujijengea mazoea ya kujitegemea
Hayo magari Lc vx v8 hatuwezi kuacha kuyanunua. Yanalandana na hadhi ya viongozi wetu.

Viongozi wetu siyo wa kutumia mikokoteni kama Rumion, au passo au sijui vitz.. hapana haiwezekani kabisa.
 
Wale wazee wa kitonga na tusiopenda kujitegemea mambo yanazidi kuwa magumu! Akili itakuja tu!

Starmer announces big cut to UK aid budget to boost defence spending​

Keir Starmer has announced drastic cuts to Britain’s international aid budget to help pay for a major increase in defence spending, amid fears over Donald Trump’s commitment to European security.

Tue 25 Feb 2025

starmer-planning-big-cuts-to-aid-budget-to-boost-defence-spending-say-sources

25 Feb, 2025 19:05

Tuunde TZAID na Boss awe Kafyulila
 
Waje na EU

WAA AFRIKA WAMELELEWA NA EPSA ZA WATHUNGU KILA MWAKA TUWE NA AKILI
 
Kuna miradi ya maji vijijini inayoendeshwa na UK-AID. Kwa maana hiyo inakwenda kusimama?

Kichekesho kiko hapa,
Mradi mmoja wa kisima unagharimu Tsh. Milioni 122 ila hivi vijiji tokea uhuru serikali ilishindwa peleka maji hadi UK-AID walivyojitokeza kuleta ukombozi

Gharama ya V8 moja la fisadi inaweza komboa vijiji vinne na shida ya maji ikabaki historia, ila kwakuwa sio kipaumbele chetu, acha tulie "UK amesitisha misaada"
Can you imagine !!!! Maji, Matundu ya vyoo.....N.K.
 
Wale wazee wa kitonga na tusiopenda kujitegemea mambo yanazidi kuwa magumu! Akili itakuja tu!

Starmer announces big cut to UK aid budget to boost defence spending​

Keir Starmer has announced drastic cuts to Britain’s international aid budget to help pay for a major increase in defence spending, amid fears over Donald Trump’s commitment to European security.

Tue 25 Feb 2025

starmer-planning-big-cuts-to-aid-budget-to-boost-defence-spending-say-sources

25 Feb, 2025 19:05

UK wako underpressure sababu ya ukraine war, for so long hahawekeza kwenye jeshi lake. Sasa ndio anataka kufanya hivyo sababu US practicaly wanaelekea kujitoa NATO
 
Wale wazee wa kitonga na tusiopenda kujitegemea mambo yanazidi kuwa magumu! Akili itakuja tu!

Starmer announces big cut to UK aid budget to boost defence spending​

Keir Starmer has announced drastic cuts to Britain’s international aid budget to help pay for a major increase in defence spending, amid fears over Donald Trump’s commitment to European security.

Tue 25 Feb 2025

starmer-planning-big-cuts-to-aid-budget-to-boost-defence-spending-say-sources

25 Feb, 2025 19:05

Hii ni habari mbaya sana Kwa mama Kizimkazi na serikali yake omba omba
 
Back
Top Bottom