Waziri Mkuu Wa Zamani wa Australia ashutumiwa kwa Kuendesha Wizara 5 kwa Siri

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Waziri Mkuu wa sasa, Anthony Albanese anamshutumu Scott Morrison kushikilia majukumu katika Wizara 5 kwa siri, kinyume na Sheria za Nchi hiyo na kuelezea vitendo vya mtangulizi wake kama uvunjifu wa demokrasia

Idara ya Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri imesema kuwa Morrison alikua Waziri mwenza wa Wizara ya Afya, Fedha, Hazina, Mambo ya Ndani na Rasilimali kwa miaka miwili kabla ya kupoteza mamlaka mnamo Mwezi Mei

Morrison anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu Ubunge kufuatia ufichuzi huo, hata hivyo ametetea hatua zake, akisema ilikuwa wakati wa janga la #COVID19 na "alifanya kwa nia njema katika shida"

.........................................

He described his predecessor's actions as an "unprecedented trashing of our democracy". Mr Morrison is facing calls to resign as an MP following the revelations, which began emerging on Monday. But he has defended his actions, saying it was during the Covid pandemic and he "acted in good faith in a crisis".

On Tuesday Mr Albanese said he had been told by the Department of Prime Minister and Cabinet that Mr Morrison became joint minister for the health, finance, treasury, home affairs and resources portfolios in the two years before losing power in May.

This "deliberately undermined the checks and balances that are so important and essential for our democracy", Mr Albanese said. He added that it was "completely extraordinary" that these appointments had been kept secret from Australian voters.

Some ministers - including the then finance minister Mathias Cormann - were reportedly unaware they were sharing portfolios with Mr Morrison. Former home affairs minister Karen Andrews told local media she would tell Mr Morrison to resign as an MP.

"For a prime minister to behave in this manner undermines everything that a federal government constitutionally should stand for," she told news.com.au.

Source: BBC
 
kumbuken matatizo haya pia yapo Africa , sometimes point out things disturbing Africans , na yenyew ni international pia
 
Back
Top Bottom