Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Wana mambo ya kijinga sanaUnafukuza vipi watu ili uwanja uonekane msafi, kwani watu ndio uchafu unaochafua uwanja?
Anyway, kama ni wale polisi wa Simbachawene hata sishangai.
Mkitaka amani jitahidini kuiondoa ccm madarakaniMheshimiwa Waziri mkuu nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Najua wewe ni mdau wa michezo nchini na umejitahidi sana kuhamasisha wananchi waishangilie timu yao.
Ila hapa uwanha wa Taifa Kuna ujinga mmoja umefanyika, Mapolisi wanaswaga watu, na kuwafukuza eneo la uwanja ili eti paonekane safi hakuna tatizo.
Kiukweli raia tumekuja, tumejitoa kushangilia timu yetu lakini tunapigwa, tunanyanyaswa na maaskari hii inakakuwaje hii?
Mheshimiwa waziri fuatilia hii kitu, Tumu ya Taifa inapocheza ni wakati wa kuungana na kusaidia timu kucheza na si kukwazana kupigana, kuvunjana miguu etc.
Pia hata suala la mtandao wa kununua credit za kuingilia uwanjani nao unasumbua yaani shida tupu
Simba aliwacha kituko cha mwaka hata kuona aibuUnafukuza vipi watu ili uwanja uonekane msafi, kwani watu ndio uchafu unaochafua uwanja?
Anyway, kama ni wale polisi wa Simbachawene hata sishangai.
Si wamesema wanaingia mashabiki elfu 35? Kwa nn polisi wawafukuze hapo nje au idadi ya mashabiki imetimia humo ndani?Mheshimiwa Waziri mkuu nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Najua wewe ni mdau wa michezo nchini na umejitahidi sana kuhamasisha wananchi waishangilie timu yao.
Ila hapa uwanha wa Taifa Kuna ujinga mmoja umefanyika, Mapolisi wanaswaga watu, na kuwafukuza eneo la uwanja ili eti paonekane safi hakuna tatizo.
Kiukweli raia tumekuja, tumejitoa kushangilia timu yetu lakini tunapigwa, tunanyanyaswa na maaskari hii inakakuwaje hii?
Mheshimiwa waziri fuatilia hii kitu, Tumu ya Taifa inapocheza ni wakati wa kuungana na kusaidia timu kucheza na si kukwazana kupigana, kuvunjana miguu etc.
Pia hata suala la mtandao wa kununua credit za kuingilia uwanjani nao unasumbua yaani shida tupu
Wazee wa PGO na Div 4 point 32Unafukuza vipi watu ili uwanja uonekane msafi, kwani watu ndio uchafu unaochafua uwanja?