3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,589
- 16,336
Kwanini mkuu?Uongo huu mm siamini
Nimeshtuka balaa ....Hivi Majaliwa anajua idadi ya watu duniani ni around 8b? anamaanisha zaidi ya 40% walifuatilia? Au amlimaanisha 39milioni?
Kwanini mkuu maana ana taarifa nyingi sana huenda ni kweli.Huyu mtu ni mwongo mnooooo
Amesema ni 3.9 BHivi Majaliwa anajua idadi ya watu duniani ni around 8b? anamaanisha zaidi ya 50% walifuatilia? Au alimaanisha 39milioni?
Event kubwa(Category ya mazishi) duniani iliyovunja rekodi ni ya Michael jackson(Memorial Service) ,ilikuwa na viewers bilioni 2.Nimeshtuka balaa ....
Kumbe wamezidi hatawale wanao fuatilia kombe la dunia world Cup. KWELI JPM NI BABA wa Africa.Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja
Sababu ni kuwa ni uongo mtupu, na hakuna mtu wa kumfatilia hata hapo Kenya watu walikuwa busy na mambo yao.Kwanini mkuu maana ana taarifa nyingi sana huenda ni kweli
Wewe humuamini mkuu?Kama bado Mnamwamini majaliwa shauri yenu.
Amesema ni 3.9 B