Waziri mkuu yupo sawa kuwashauri wahitimu wa degree kwenda Veta, Kiburi cha wahitimu kimesababisha wawe watu wasio na mbele wala nyuma mitaani

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Don't Put All your hopes in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili

Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !!

huko vyuoni wamedanganyana vitu vingi sana, Uhalisia wa Tanzania ni X wao wanapeana matumani tofauti kabisa Z.

Kijana anamaliza degree yake ana miaka 23 lakini unakuja kumkuta ana 30 hajapiga hatua, bado ana ndoto nyevu nyevu za kuja kuajiriwa, ubongo wake upo tuned kuona maisha yanapatikana kwenye ajira pekee, ndivyo mfumo wa elimu yetu unavyowaaminisha wanafunzi tangu wakiwa wadogo.

Uhalisia upo tofauti sanaaa, ajira zipo chache sanaaa, vyuo vinazidi kuwa vingi, wahitimu wanazidi kuwa wengi, amini usiamini 70 % ya ajira ili upate mpaka uwe na connection, nje ya hapo ni bahati au uwezo wako.

Ushauri wa Majaliwa ni mzuri lakini ingependeza zaidi aseme vijana wapitie mafunzo kabla ya kuhitimu vyuo, jambo la pili sio lazima kwenda veta, mtu anaweza kwenda kujifunza kwa wataalam ambao tayari wapo site.

Pindi mwanafunzi akiwa chuoni siku za likizo, weekend, n.k. awe ana sehemu ya kwenda kujifunza kwa vitendo kwa kujitolea bure kabisa, ikitokea kalipwa ni majaliwa, lengo ni kukusanya ujuzi, maarifa na connections, hivi ni vitu ambavyo huwezi kuvipata kirahisi hata uwe na mtaji ndio maana wafanyabiashara wengi wanaoanza huwa wanafeli na kuangukia pua, ushahidi ni hawa hawa wahitimu wanapopewa mitaji wengi wanafeli.

Hadi mtu anahitimu chuo awe ameziona changamoto za biashara kwa macho sio kusoma facebook, awe anavijua vibali, awe na namba na kufahamiana na wadau muhimu kwenye biashara, n.k. akikusanya au akipewa mtaji anajiamini kwenye kitu anachoenda kufanya kwasababu ana ujuzi, maarifa na connections, sio kwenda facebook au kuomba ushauri humu jamii forums "nina shiling x nifanye biashara gani".

Yote haya ni kumuandaa mhitimu awe na uwezo wa kujitegemea baada ya kuhitimu chuo, tena inapendeza zaidi anapomaliza chuo aliunge huko huko mji au jiji alikosomea kuliko kuanza kurudi vijijini au mikoani kwao bila mishe anasubiria kuandika barua za kuomba kazi bila guarantee na ndio mwanzo wa kudorora na kupauka, mpaka anafika 30 hana mbele wala nyuma.

Panapotokea nafasi za ajira mhitimu awe ana uwezo wa kujilipia nauli, gesti, n.k. sio kuanza kukopa au kuanza kuomba, ni aibu sana inayokuongezea madeni na kukushushia heshima pindi unapokosa ajira tena na tena na tena.
 
Acheni ujinga basi na elimu, unajua mtiti wa kusoma pcm/pcb advance? Afu mtu uende coet/muhas ukimaliza ushauriwe uende veta!??

Shida yetu ni moja tu,tunaongozwa ba failures wasiojua ugumu wa elimu maana wao walibebwa...

Unaongozwa na mtu hata form 4 alishindwa kufaulu akakimbilia certificate???

Shenzi!!!
Kuyapata maisha hakupimwi kwa ugumu uliopitia.

Ingekuwa hivyo wanaobeba mawe ilibidi wawe wenye mafanikio zaidi.

Hao waliosoma PCM na kwenda vyuoni wapo wengi sanaaaa, ajira ni chache sanaaa, maamuzi sahihi ni kujiongeza mapema.
 
Huwa nashangaa hao wanaosoma PCM wanashindwaje kutumia basic probability kwamba probability ya kujitegemea kwa ajira ni ndogo ni 0.2, probability ya kujitegemea kwa ujuzi / biashara ni 0.7 lakini bado wanaweka matumaini yote kwenye ajira
Serikali Yako ndo haijielewi, tufanye una kiwanda, Bado una mzigo uliozalisha miaka mitano nyuma haijapata wanunuzi, Bado ungeendelea kufanya uzalishaji?? Au ungepambana stock kwanza iishe?? It's just that simple

Dunia ya Sasa tunahitaji viongozi wawe na maono ya hata miaka ishirini mbele? Kila taifa litakuja kupata viongozi vichaa kama kina trump Kila mtu aangalie nchi yake kwanza, hua nashindwa kuelewa Hawa viongozi wanashindwa nini kufanya ubia tupate viwanda vyetu huku? Watu wako mbali sisi mpaka kandambili tutegemee kuagiza china kweli??? It's plain stupid
 
Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !!

huko vyuoni wamedanganyana vitu vingi sana, Uhalisia wa Tanzania ni X wao wanapeana matumani tofauti kabisa Z.

Kijana anamaliza degree yake ana miaka 23 lakini unakuja kumkuta ana 30 hajapiga hatua, bado ana ndoto nyevu nyevu za kuja kuajiriwa, ubongo wake upo tuned kuona maisha yanapatikana kwenye ajira pekee, ndivyo mfumo wa elimu yetu unavyowaaminisha wanafunzi tangu wakiwa wadogo.

Uhalisia upo tofauti sanaaa, ajira zipo chache sanaaa, vyuo vinazidi kuwa vingi, wahitimu wanazidi kuwa wengi, amini usiamini 70 % ya ajira ili upate mpaka uwe na connection, nje ya hapo ni bahati au uwezo wako.

Ushauri wa Majaliwa ni mzuri lakini bado amewarembea vijana, mafunzo ya kujifunza kujitegemea kwa shughuli za kukuingizia kipato yaanze kabla mwanafunzi hajaingia degree.

Pindi akiwa chuoni siku za likizo, weekend, n.k. awe ana sehemu ya kwenda kujitolea kwa vitendo bure kabisa ikitokea kalipwa ni majaliwa, lengo ni kukusanya ujuzi na connections za wahusika wa shughuli hizo, hivi ni vitu ambavyo huwezi kuvipata kirahisi hata uwe na mtaji ndio maana wafanyabiashara wengi wanaoanza huwa wanafeli na kuangukia pua.

Hadi mtu anahitimu chuo awe ameziona changamoto za biashara kwa macho sio kusoma facebook, awe anavijua vibali, awe na namba na kufahamiana na wadau muhimu kwenye biashara, n.k.

Yote haya ni kumuandaa mhitimu ajiendeleze sio kuanza upya from scratch / zero, tena inapendeza zaidi akihitimu chuo analiunga huko huko mji au jiji alikosomea huku wakiwa na uwezo wa kujitegemea, hii ni faida sana kwasababu mambo ya kuanza kurudi vijijini au mikoani bila mishe ni jau, ndio mwanzo wa kutopata maendeleo yoyote zaidi mpaka unafika 30 upo vile vile ni sura tu imebadilika.

Panapotokea nafasi za ajira mtu awe ana uwezo wa kujilipia nauli, gesti, n.k. sio kuanza kusumbua tena wazazi , walezi, wajimba, n.k.
SI aonyeshe mfano kwa kuanza yeye na digrii ya ujingaaa?
 
Acheni ujinga basi na elimu, unajua mtiti wa kusoma pcm/pcb advance? Afu mtu uende coet/muhas ukimaliza ushauriwe uende veta!??

Shida yetu ni moja tu,tunaongozwa ba failures wasiojua ugumu wa elimu maana wao walibebwa...

Unaongozwa na mtu hata form 4 alishindwa kufaulu akakimbilia certificate???

Shenzi!!!
Kusoma pcm /pcb hakuna mtiti wowote ni wajinga wachache wavivu ndio wamekaririshana hivyo.
 
Acheni ujinga basi na elimu, unajua mtiti wa kusoma pcm/pcb advance? Afu mtu uende coet/muhas ukimaliza ushauriwe uende veta!??

Shida yetu ni moja tu,tunaongozwa ba failures wasiojua ugumu wa elimu maana wao walibebwa...

Unaongozwa na mtu hata form 4 alishindwa kufaulu akakimbilia certificate???

Shenzi!!!
 
Don't Put All your Eggs in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili

Anza wewe kutuonyesha mbele na nyuma yako
 
Acheni ujinga basi na elimu, unajua mtiti wa kusoma pcm/pcb advance? Afu mtu uende coet/muhas ukimaliza ushauriwe uende veta!??

Shida yetu ni moja tu,tunaongozwa ba failures wasiojua ugumu wa elimu maana wao walibebwa...

Unaongozwa na mtu hata form 4 alishindwa kufaulu akakimbilia certificate???

Shenzi!!!
Kote unadesa huko unasoma degree umechomeka kidaftar cha mama mjamzito mfukoni bora murnde tu veta hao wanawake ndo eneo la kujifunza kutolewa bikra bora veta tu na mwaka huu ajira ni kwa certificate diploma and above hamna cheque hafundishiki nidham mbovu mnajifanya mnajua haki na kutaka kusoma ili mshahara upande muitwe mabosi si kukuza efficiency to output Wenden veta
 
Don't Put All your Eggs in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili

Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !!

huko vyuoni wamedanganyana vitu vingi sana, Uhalisia wa Tanzania ni X wao wanapeana matumani tofauti kabisa Z.

Kijana anamaliza degree yake ana miaka 23 lakini unakuja kumkuta ana 30 hajapiga hatua, bado ana ndoto nyevu nyevu za kuja kuajiriwa, ubongo wake upo tuned kuona maisha yanapatikana kwenye ajira pekee, ndivyo mfumo wa elimu yetu unavyowaaminisha wanafunzi tangu wakiwa wadogo.

Uhalisia upo tofauti sanaaa, ajira zipo chache sanaaa, vyuo vinazidi kuwa vingi, wahitimu wanazidi kuwa wengi, amini usiamini 70 % ya ajira ili upate mpaka uwe na connection, nje ya hapo ni bahati au uwezo wako.

Ushauri wa Majaliwa ni mzuri lakini bado amewarembea vijana, mafunzo ya kujifunza kujitegemea kwa shughuli za kukuingizia kipato yaanze kabla mwanafunzi hajaingia degree.

Pindi akiwa chuoni siku za likizo, weekend, n.k. awe ana sehemu ya kwenda kujitolea kwa vitendo bure kabisa ikitokea kalipwa ni majaliwa, lengo ni kukusanya ujuzi na connections za wahusika wa shughuli hizo, hivi ni vitu ambavyo huwezi kuvipata kirahisi hata uwe na mtaji ndio maana wafanyabiashara wengi wanaoanza huwa wanafeli na kuangukia pua.

Hadi mtu anahitimu chuo awe ameziona changamoto za biashara kwa macho sio kusoma facebook, awe anavijua vibali, awe na namba na kufahamiana na wadau muhimu kwenye biashara, n.k.

Yote haya ni kumuandaa mhitimu ajiendeleze sio kuanza upya from scratch / zero, tena inapendeza zaidi akihitimu chuo analiunga huko huko mji au jiji alikosomea huku wakiwa na uwezo wa kujitegemea, hii ni faida sana kwasababu mambo ya kuanza kurudi vijijini au mikoani bila mishe ni jau, ndio mwanzo wa kutopata maendeleo yoyote zaidi mpaka unafika 30 upo vile vile ni sura tu imebadilika.

Panapotokea nafasi za ajira mtu awe ana uwezo wa kujilipia nauli, gesti, n.k. sio kuanza kusumbua tena wazazi , walezi, wajimba, n.k.
Kwahyo mkuu wasipoebda veta mtawafanya nin?, happ mtaan kwako wameshakuja wangap kukuomb chakula mkuu?.. Hiyo veta mnayoisifia mnaresearch ya kutosha kwamba ni tiba?. Je ikifika veta zmezalisha products zinazozid demand ya jamii mtasema nin?.

Halaf hivi wewe umeon hiyo ni best option kwakuwa kasema PM au wewe mwenyewe unauelewa wa kutosha na hilo?.
Vijana kutaka ajira sio tz pekee hata huko mnakosema kuna elimu bora bado vijana wanazitaka serikali zao kuhusu ajira.

Kikubwa tuu wasivunje sheria za nchi, usifikiri kwamb msipo waajiri watakifa mkuu, maana ingekuwa ni hivo mitaa yote ingejaa mizoga ya wasio na ajira.

Kikubwa tuu PM na ninyi wapiga pambio mjue mnataka watu wabadilike wajiajiri ila nyie hamtaki kubadilika kuacha kucheza rafu kwenye uchaguzi ninyi mnaogopa nini kukaa nje ya mfumo?????
 
Baada ya kuhitimu elimu ya sekondari kabla ya kuendelea na elimu ya vyuo vya juu brother wangu alipendekeza nikapate mafunzo ya ufundi VETA kwanza ili niwe na ujuzi na stadi za kiufundi na mambo ya ujasiriamali pale Chang'ombe jijini Dar. Niliona brother na mke wake wamenidharau kunipeleka VETA nikachanganyike na vijana wa darasa la saba wakati mimi ni msomi mkubwa wa kusoma chuo kikuu, nilimkasikia sana brother kwa kuleta wazo la mimi kwenda VETA. Nilienda kwa shingo upande nikasoma fani niliyoichagua na kuhitimu vema kabla ya kuendelea na elimu ya juu na sasa najivunia kuwa nina elimu ya ufundi na elimu ya chuo kotekote nimepitia na nafiti ofisini na mitaani maisha yanaendelea bila kukosa shughuli za kufanya. Wasomi wa vyuo vikuu wakasome tu VETA ili wawe na option nyingi
 
Acheni ujinga basi na elimu, unajua mtiti wa kusoma pcm/pcb advance? Afu mtu uende coet/muhas ukimaliza ushauriwe uende veta!??

Shida yetu ni moja tu,tunaongozwa ba failures wasiojua ugumu wa elimu maana wao walibebwa...

Unaongozwa na mtu hata form 4 alishindwa kufaulu akakimbilia certificate???

Shenzi!!!
Hii ndio sababu ya ongezeko la kukosa ajira, unadhani Tanzania inahitaji madaktari wangapi? au wataalam kwenye eneo lako ni wangapi? yupo Dada mmoja mhitimu wa Masters alienda jifunza uokaji na mikate leo hii pesa alizonazo ni tofauti na kama angeendelea kusubiri ajira, no wonder leo nafasi za TRA kuna watu zaidi ya laki moja wameomba
 
Hivi hizi ID za ccm mnalipwa shingapi mkasome nyie VETA
 
Kushauri ni rahisi sana embu jaribu wewe uone kama ni rahisi.Mtu yupo bungeni kaajiriwa na serikali anawaambia watu wajiajiri why yeye asiwe mfano wa kwanza kuacha kazi na kujiajiri.Wewe unatoa ushauri wa hiki mara kile kutokana na reference ya maisha yako unaelewa kuhusu maisha ya wengine?
 
Don't Put All your Eggs in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili

Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !!

huko vyuoni wamedanganyana vitu vingi sana, Uhalisia wa Tanzania ni X wao wanapeana matumani tofauti kabisa Z.

Kijana anamaliza degree yake ana miaka 23 lakini unakuja kumkuta ana 30 hajapiga hatua, bado ana ndoto nyevu nyevu za kuja kuajiriwa, ubongo wake upo tuned kuona maisha yanapatikana kwenye ajira pekee, ndivyo mfumo wa elimu yetu unavyowaaminisha wanafunzi tangu wakiwa wadogo.

Uhalisia upo tofauti sanaaa, ajira zipo chache sanaaa, vyuo vinazidi kuwa vingi, wahitimu wanazidi kuwa wengi, amini usiamini 70 % ya ajira ili upate mpaka uwe na connection, nje ya hapo ni bahati au uwezo wako.

Ushauri wa Majaliwa ni mzuri lakini bado amewarembea vijana, mafunzo ya kujifunza kujitegemea kwa shughuli za kukuingizia kipato yaanze kabla mwanafunzi hajaingia degree.

Pindi akiwa chuoni siku za likizo, weekend, n.k. awe ana sehemu ya kwenda kujitolea kwa vitendo bure kabisa ikitokea kalipwa ni majaliwa, lengo ni kukusanya ujuzi na connections za wahusika wa shughuli hizo, hivi ni vitu ambavyo huwezi kuvipata kirahisi hata uwe na mtaji ndio maana wafanyabiashara wengi wanaoanza huwa wanafeli na kuangukia pua.

Hadi mtu anahitimu chuo awe ameziona changamoto za biashara kwa macho sio kusoma facebook, awe anavijua vibali, awe na namba na kufahamiana na wadau muhimu kwenye biashara, n.k.

Yote haya ni kumuandaa mhitimu ajiendeleze sio kuanza upya from scratch / zero, tena inapendeza zaidi akihitimu chuo analiunga huko huko mji au jiji alikosomea huku wakiwa na uwezo wa kujitegemea, hii ni faida sana kwasababu mambo ya kuanza kurudi vijijini au mikoani bila mishe ni jau, ndio mwanzo wa kutopata maendeleo yoyote zaidi mpaka unafika 30 upo vile vile ni sura tu imebadilika.

Panapotokea nafasi za ajira mtu awe ana uwezo wa kujilipia nauli, gesti, n.k. sio kuanza kusumbua tena wazazi , walezi, wajimba, n.k.
Akili mandazi tu....ujitolee bure, unakula mchanga? Tupunguzeni uropokaji.
Kusomea ujuzi ni sahihi, lakin mazingira wezeshi yapo?( Tujadiri si kwa kutafuta sifa majukwaani)
 
Degree ni nyingi mtaani, skills zifuri. Uwezo wa kutatua vitu vidogo vidogo hamna
Mkishashiba chips huku mmekaa ofisini kwenye viajira vyenu vinavyowapa uhakika wa kula mwisho wa mwezi, mnaona jobless wote wenye digrii hawana akili Chujio
 
Don't Put All your Eggs in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili

Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !!

huko vyuoni wamedanganyana vitu vingi sana, Uhalisia wa Tanzania ni X wao wanapeana matumani tofauti kabisa Z.

Kijana anamaliza degree yake ana miaka 23 lakini unakuja kumkuta ana 30 hajapiga hatua, bado ana ndoto nyevu nyevu za kuja kuajiriwa, ubongo wake upo tuned kuona maisha yanapatikana kwenye ajira pekee, ndivyo mfumo wa elimu yetu unavyowaaminisha wanafunzi tangu wakiwa wadogo.

Uhalisia upo tofauti sanaaa, ajira zipo chache sanaaa, vyuo vinazidi kuwa vingi, wahitimu wanazidi kuwa wengi, amini usiamini 70 % ya ajira ili upate mpaka uwe na connection, nje ya hapo ni bahati au uwezo wako.

Ushauri wa Majaliwa ni mzuri lakini bado amewarembea vijana, mafunzo ya kujifunza kujitegemea kwa shughuli za kukuingizia kipato yaanze kabla mwanafunzi hajaingia degree.

Pindi akiwa chuoni siku za likizo, weekend, n.k. awe ana sehemu ya kwenda kujitolea kwa vitendo bure kabisa ikitokea kalipwa ni majaliwa, lengo ni kukusanya ujuzi na connections za wahusika wa shughuli hizo, hivi ni vitu ambavyo huwezi kuvipata kirahisi hata uwe na mtaji ndio maana wafanyabiashara wengi wanaoanza huwa wanafeli na kuangukia pua.

Hadi mtu anahitimu chuo awe ameziona changamoto za biashara kwa macho sio kusoma facebook, awe anavijua vibali, awe na namba na kufahamiana na wadau muhimu kwenye biashara, n.k.

Yote haya ni kumuandaa mhitimu ajiendeleze sio kuanza upya from scratch / zero, tena inapendeza zaidi akihitimu chuo analiunga huko huko mji au jiji alikosomea huku wakiwa na uwezo wa kujitegemea, hii ni faida sana kwasababu mambo ya kuanza kurudi vijijini au mikoani bila mishe ni jau, ndio mwanzo wa kutopata maendeleo yoyote zaidi mpaka unafika 30 upo vile vile ni sura tu imebadilika.

Panapotokea nafasi za ajira mtu awe ana uwezo wa kujilipia nauli, gesti, n.k. sio kuanza kusumbua tena wazazi , walezi, wajimba, n.k.
Aliyevuruga mtaala akaminya ujuzi na maarifa kwenye degree na kuiwezesha veta ni nani? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom