Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Una hoja.
Shida ni kwamba anachokifanya kinampa umaarufu. Na kwa kweli sio endelevu maana hataweza kuwafikia wananchi wote. Ndo maana wenye shida nao hufanya ziara alipo PM. Utakuta mtu katoka Arusha kumfuata pm mwanza