Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 3,816 Reaction score 9,308 Oct 3, 2026 #21 Una hoja. Shida ni kwamba anachokifanya kinampa umaarufu. Na kwa kweli sio endelevu maana hataweza kuwafikia wananchi wote. Ndo maana wenye shida nao hufanya ziara alipo PM. Utakuta mtu katoka Arusha kumfuata pm mwanza
Una hoja. Shida ni kwamba anachokifanya kinampa umaarufu. Na kwa kweli sio endelevu maana hataweza kuwafikia wananchi wote. Ndo maana wenye shida nao hufanya ziara alipo PM. Utakuta mtu katoka Arusha kumfuata pm mwanza