Somalia afadhali.Hii nchi ngumu sana kuishi.
Hi sio nchi ni jungle with jungle laws.Hii nchi ngumu sana kuishi.
Wajinga sana hao mbwa koko forex bureau wamezifunga haafu bado wanatutaka sisi wa chato twende na $$$$
Chato ni punda wamejaa barabarani.Nenda ‘siaradibi’ hapo ‘chuttle’ utapata $$. Hayo ndo makao makuu ya ‘Dona kantri’
Kwa nini Jiwe asiingie mkataba na huyo waziri wa uchina anayekuja leoChato ni punda wamejaa barabarani.
Uchumi wa kati. Mbona mnakimbilia dola? Hela yanu wenyewe ya Tshs mnaiona makapi? #SadTaasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani.
Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola.
Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na Serikali au ni wahuni wachache? Kwanini Dola itumike wakati ukipatikana na dola hata kidogo unapigwa money laundering na uhujumu uchumi?
Mikoani kusikokuwa na dola wananchi watafanyaje?
This is shameful
Kama unaua sekta binafsi ikuleteayo dola haya ndo madhara yake, tunakusanya Hadi kwa visivyokusanyika.NCHI INA UHABA WA FEDHA ZA KIGENI SUBIRI TUZIKUSANYE.
ZILE TULIZONYANG'ANYA KWENYE MADUKA YA KUBADILISHIA FEDHA KIPINDI KILE ZIMEISHA.
Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani.
Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola.
Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na Serikali au ni wahuni wachache? Kwanini Dola itumike wakati ukipatikana na dola hata kidogo unapigwa money laundering na uhujumu uchumi?
Mikoani kusikokuwa na dola wananchi watafanyaje?
This is shameful
Mabeberu yana nguvu sana,wewe yasikie tu.Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani.