Waziri Mpango tunaomba majibu matumizi ya Dola kwenye upimaji wa Covid-19

Waziri Mpango tunaomba majibu matumizi ya Dola kwenye upimaji wa Covid-19

Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani.

Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola.

Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na Serikali au ni wahuni wachache? Kwanini Dola itumike wakati ukipatikana na dola hata kidogo unapigwa money laundering na uhujumu uchumi?

Mikoani kusikokuwa na dola wananchi watafanyaje?

This is shameful
Huenda kuna Mtu Mmoja anataka Watanzania washindwe ili Wafe kwa wingi kisha imsaidie kwa Kafara zake na Biashara ya Majeneza imlipe zaidi.
 
Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani.

Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola.

Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na Serikali au ni wahuni wachache? Kwanini Dola itumike wakati ukipatikana na dola hata kidogo unapigwa money laundering na uhujumu uchumi?

Mikoani kusikokuwa na dola wananchi watafanyaje?

This is shameful
Kuna zingoovi vilaza nchi hii, sijapata kuona
 
Falsafa za ujamaa wakati mwingine upingana.
Kukutwa na dola ni uhujumu uchumi,Bali malipo kwa dola.
So kwenda kenya,au zambia ni lzm ulipie 231000 covid test.Gharama za kupima ni kubwa mara tatu ya nauli ya dar nairobi
Utashangaa zaidi ukijua wafanya maamuzi ya kipumbavu kama hayo wana PHd, halafu utakuta wapuuzi kama Masanja Mkandamizaji wapo busy kusifia utopolo wao.
 
Njia za kuwatoa kafara watu zipo nyingi sio zile zile za wasiojulikana hata kuwamislead pia pale mwanasiasa anapogeuka mtaalamu
 
Utashangaa zaidi ukijua wafanya maamuzi ya kipumbavu kama hayo wana PHd, halafu utakuta wapuuzi kama Masanja Mkandamizaji wapo busy kusifia utopolo wao.
Kuwa na phd sio kipimo cha reasoning unawekuwa nayo ya claiming capacity.
Claiming na reasoning ni vitu viwili tofauti.
 
PhD zenyewe magumashi. Watu wapumbavu sana. Yaani mtanzania anachajiwa dola 100 kupima korona
Ni ghali chukulia asafirie mara 20 kwa mwaka atalipa ngapi.kuna wafanyabiashara usafiri Zaid ya mara 10 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom