Waziri Mpango tunaomba majibu matumizi ya Dola kwenye upimaji wa Covid-19

Huenda kuna Mtu Mmoja anataka Watanzania washindwe ili Wafe kwa wingi kisha imsaidie kwa Kafara zake na Biashara ya Majeneza imlipe zaidi.
 
Kuna zingoovi vilaza nchi hii, sijapata kuona
 
Falsafa za ujamaa wakati mwingine upingana.
Kukutwa na dola ni uhujumu uchumi,Bali malipo kwa dola.
So kwenda kenya,au zambia ni lzm ulipie 231000 covid test.Gharama za kupima ni kubwa mara tatu ya nauli ya dar nairobi
Utashangaa zaidi ukijua wafanya maamuzi ya kipumbavu kama hayo wana PHd, halafu utakuta wapuuzi kama Masanja Mkandamizaji wapo busy kusifia utopolo wao.
 
Njia za kuwatoa kafara watu zipo nyingi sio zile zile za wasiojulikana hata kuwamislead pia pale mwanasiasa anapogeuka mtaalamu
 
Utashangaa zaidi ukijua wafanya maamuzi ya kipumbavu kama hayo wana PHd, halafu utakuta wapuuzi kama Masanja Mkandamizaji wapo busy kusifia utopolo wao.
Kuwa na phd sio kipimo cha reasoning unawekuwa nayo ya claiming capacity.
Claiming na reasoning ni vitu viwili tofauti.
 
Kuwa na phd sio kipimo cha reasoning unawekuwa nayo ya claiming capacity.
Claiming na reasoning ni vitu viwili tofauti.
PhD zenyewe magumashi. Watu wapumbavu sana. Yaani mtanzania anachajiwa dola 100 kupima korona
 
PhD zenyewe magumashi. Watu wapumbavu sana. Yaani mtanzania anachajiwa dola 100 kupima korona
Ni ghali chukulia asafirie mara 20 kwa mwaka atalipa ngapi.kuna wafanyabiashara usafiri Zaid ya mara 10 kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…