Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000.
Azam decoder hawana Ubora kuzidi Dstv, Wanatumia kigezo cha kutuonyesha mipira Ili kuchaji gharama zaidi, ongezeko hilo ni kama blackmailing, hakuna media nyingine wanaowapa ushindani kwenye mpira kwa Sasa. Ongezeko hilo sio halisia na maisha ya wananchi, ajabu Mzawa mwenzetu anatunyonya kuliko wageni wawekezaji.
Mmesubiri home boy apigwe chini ndio mlete ongezeko! Waziri nakusihi, liangalie kwa jicho la wananchi wanyonge..
Basi kama ongezeko ni package zote hiyo sababu ya kurusha ligi ya Spain ni sababu haina maanaPackage ya mpira ongezeko ni 3000 wakati package zisizo na mpira wameongezwa 1000.sijawahi ona ongezeko kubwa kiasi hicho, kwenye maisha haya magumu ya Bei za vitu kuwa juu
Kumbe umetoa maoni ukiwa hujui chochote kuhusu hayo maongezekoSijalifanyia utafiti hilo wacha nifuatilie.
Pmi nashangaa watu mbahangaikaKudadeki! Niliwapiga chini Startimes halafu tena hawa wanaleta hizi mambo?!
Kwani Azam wanapata ruzuku serikalini? Hii ni biashara ya mtu binafsi na mfanya biashara yoyote lengo ni faida. Haya mambo hayamuhusu waziri wala serikali ni maamuzi ya kampuni binafsi hata sokoni tunaenda tunakutana na bei mpya lakini tunanunua. Kwa Azam kama huliwezi ni kuhamia sehemu unayoweza hakuna aliyelazimishwa kununua.
Azam Tv wanapandisha bei za vifurushi kiholela pasipo ongezeko la channels mpya.
Unapopandisha bei za vifurushi lazima kwanza uzingatie kuongeza channels mpya ambazo hazikuwepo ili kuweka uwiano kinyume na hapo wanatakiwa kudhibitiwa na Serikali.
Mgomo kwenye entertainment??ur kidding right? Vitu vya starehe kama ivi unajisumbua bure😂Nawashangaa wanaolalamika. At least ingekua ni tbc kweli.
Dawa yao ni kuacha kulipia, Wateja wote waweke mgomo baridi afu uone watavyomtesa bakhresa.
Nahitaji kujiridhisha tu lakini ukweli upo wazi azam anatoa matangazo kwa bei rahisi sana kulinganisha satellite service provider wengine. Kwasasa East and central Africa ameshika soko.Kumbe umetoa maoni ukiwa hujui chochote kuhusu hayo maongezeko
Kwa nn usingeanza utafiti ndio uje kutoa maoni?
Kulinganisha na kina nani? Hapa naamini umefanya research h yo utakuwa na majibuNahitaji kujiridhisha tu lakini ukweli upo wazi azam anatoa matangazo kwa bei rahisi sana kulinganisha satellite service provider wengine. Kwasasa East and central Africa ameshika soko.
Kwa hapa ndani ana competitors kama dstv , startimes , zuku n.k .zaidi ya dstv hakuna service provider mwengine hapo anaeweza kuwa programs alizonazo azam mshindani mkuu wake ni dstv ambaye watanzania wengi wameshindwa afford service unataka watu waende wapi?Kulinganisha na kina nani? Hapa naamini umefanya research h yo utakuwa na majibu
Anatoa bei rahisi kulinganisha na wengine kina nani?