johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nasi tupeleke wasichozalisha tuone kama watapokeaMpaka tende nazo tunapewa kama msaada!
NdioMpaka tende nazo tunapewa kama msaada!
Tena zinapokelewa na waziri?Mpaka tende nazo tunapewa kama msaada!
Ni miongoni mwa vyakula ghali hivyo. Umeshawahi kununua tende weye?Mpaka tende nazo tunapewa kama msaada!
Ulitaka apokee nani?Tena zinapokelewa na waziri?
Wewe huli Tende?Duuuh aiseee,tuache ujinga kupokea kila kitu na hata hivi vya kijinga,tunajidhalilisha sana
Kula au kutokula haimaanishi nchi iwe kama jalala tuWewe huli Tende?
Mbona umeumia sana bwashee?Kula au kutokula haimaanishi nchi iwe kama jalala tu
Ni mbadala wa Vumbi la Congo!Nazisubiri Mtaa wa Kongo pale😋
#Mambo ya ajabu ajabu tu
Karibu sana!Msafara wa waziri unakwenda kupokea haluwaaaaaa🤣
Tende halua haluaaa!! 😁Ni miongoni mwa vyakula ghali hivyo. Umeshawahi kununua tende weye?
Hizi tenda zilitakiwa kupokelewa hata na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum kwa niaba ya serikali! Halafu zingegawiwa kwa ndugu zetu katika imaan wakati wa mfungo mtukufu wa Ramadhan! Mambo yangekuwa murua kabisa.Tena zinapokelewa na waziri?