Waziri Mulamula apokea msaada wa Tende kutoka Saudi Arabia

Waziri Mulamula apokea msaada wa Tende kutoka Saudi Arabia

Hizi tenda zilitakiwa kupokelewa hata na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum kwa niaba ya serikali! Halafu zingegawiwa kwa ndugu zetu katika imaan wakati wa mfungo mtukufu wa Ramadhan! Mambo yangekuwa murua kabisa.

Hakukuwa na sababu ya msingi kwa waziri kuacha kazi na kwenda kupokea hizo tende za msaada.
Wala kitimoto utawajua tu
 
Mnapenda sana kupokea, ila mkipewa masharti ya misaada msianze kulaumu tamaduni zenu, hakuna cha buree duniani hapa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nawakumbusha tyuuh.
 
Tumepiga marufuku VUMBI LA CONGO.

Chukua kikombe cha Maziwa halafu ndani yake weka tende, usiweke sukari iwe maziwa na tende tu. Maziwa hakikisha ya moto, fanya hivyo kila jioni baada ya kutoka kuruka miruko 100 ya kamba. Ukumbuke kuleta shukrani.
 
Mpaka tende nazo tunapewa kama msaada!
Sasa we mwana wa Mbonde tende unalima wapi???? sie tunawapelekea mchele na nyama. Wanakupa tuvitu tutamu na wewe utoe shekh!
Kingine ukumbuke tunanunua mafuta (Petrol/diesel/gas) kutoka kwao, kwa hiyo kama unavyotoa christmass gift kwa wateja wako
 
Mtawapa na tiGO?
 
Mnapenda sana kupokea, ila mkipewa masharti ya misaada msianze kulaumu tamaduni zenu, hakuna cha buree duniani hapa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nawakumbusha tyuuh.
Hilo neno tyu huwa mnalitumia kwa maana ipi?

No render au?
 
Back
Top Bottom