Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
that is all the arabs can give.Waziri wa Mambo ya Nje Mh. Mulamula jana alikabidhiwa msaada wa Tende kutoka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini.
Matunda ya Tende hutumiwa kama tiba mbadala kwa Maradhi mbalimbali.
Source: ITV