ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Unawaza kama mimi mkuu! Tena ubalozi upo kabisa pale salenda na kwa mujibu wa taarifa nilizonazo kati ya hao waTz 300+ waliopo UKRAINE 297 wapo mji wa mpakani na Urusi unaitwa Summy. Sasa kwanini wasivuke boda tu tena kwa miguu waende wakachukuliwe na ATCL Moscow?Tuengee vizuri na Urusi, waende Moscow.