MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Habari ya vita mtu anaongea kama ananunua mitumba kariakoo.Waziri wa Mambo ya nje Mh Mulamula amewataka watanzania takribani 300 walioko Ukraine wajitahidi waweze kuingia Poland ambako uratibu unafanyika.
Mulamula amesema ameona ubaguzi unaoendelea Ukraine kupitia mitandaoni na amesikitishwa sana lakini wananchi wasiwe na wasiwasi kwa sababu serikali inafuatilia kwa karibu sana.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!