Na kama Rais aliyemteua huyo waziri anamakosa basi na sisi tuliyemchagua huyu raisi na sisi tuna makosa ting'atukeKama "Waziri mwenye dhamana ana makosa" na Rais aliyemteua huyo waziri nae "ana makosa", ang'atuke?
Ana dhamana ya nini huyo Waziri?
Anaposema cku hiyo itajulikana tui na maziwa nikuwa anauwezo wa kuwafukuza lkn uwezo huo hana kwa soka la sasa waneweza wasifike kwenye kikao chake na lakufanya hana labda wapewe kesi kama ya malinziWaziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.
Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi wa TFF ili wamueleze sababu za kumfukuza Amunike na kumpa mikakati yao ya baadae lakini viongozi hao wameingia mitini.
Mwakyembe amesisitiza kuwa kama kocha ana matatizo maana yake hata uongozi wa juu wa TFF unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tarehe 24/07/2019 waziri wa michezo Dr Mwakyembe atakutana na wadau wote wa michezo wakiwemo viongozi wa TFF na hapo atakata mzizi wa fitina na itajulikana maziwa ni yepi na tui la nazi ni lipi, amemalizia.
Source ITV habari
My take;
Mawazo ya Dr Mwakyembe yamefanana na yale yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe!
Je ni nani mwenye mamlaka ya kutafuta kocha na kufukuza? Mo waziri au TFF?Waziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.
Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi wa TFF ili wamueleze sababu za kumfukuza Amunike na kumpa mikakati yao ya baadae lakini viongozi hao wameingia mitini.
Mwakyembe amesisitiza kuwa kama kocha ana matatizo maana yake hata uongozi wa juu wa TFF unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tarehe 24/07/2019 waziri wa michezo Dr Mwakyembe atakutana na wadau wote wa michezo wakiwemo viongozi wa TFF na hapo atakata mzizi wa fitina na itajulikana maziwa ni yepi na tui la nazi ni lipi, amemalizia.
Source ITV habari
My take;
Mawazo ya Dr Mwakyembe yamefanana na yale yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe!
😂😂😂😂😂Wajiuzuru kwa sababu gani? TFF na Mh. Makonda wanapaswa kupongezwa kwa kuifikisha Tz Afcon. Sisi wenyewe tulisema tunaenda kujifunza na sio kushindana. Kuhusu kufukuzwa kocha ni sahihi kabisa maana alikua hana mbinu yoyote. Kuhusu maoni ya Mbowe hayawezi kupewa uzito wowote kwa kuwa ameyatoa kipindi ambacho ana msongo mkubwa wa mawazo ya madeni makubwa anayodaiwa.
Teh....ongezea na hivi hiyo shule alienda kusomea ujingaAlcon = Afcon
aliuetuumba pia ang'atukeKama Rais nae aking'atuka basi nasisi tuliomchagua tung'atuke
VIONGOZI WA TFF KAMA KWELI WAMEUMIZWA NA MATOKEO YA CHAN19 BASI WANAPASWA WAWAJIBIKE KWA KUJIUZULU KABLA YA KUFIKA TAREHE HIYOWaziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.
Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi wa TFF ili wamueleze sababu za kumfukuza Amunike na kumpa mikakati yao ya baadae lakini viongozi hao wameingia mitini.
Mwakyembe amesisitiza kuwa kama kocha ana matatizo maana yake hata uongozi wa juu wa TFF unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tarehe 24/07/2019 waziri wa michezo Dr Mwakyembe atakutana na wadau wote wa michezo wakiwemo viongozi wa TFF na hapo atakata mzizi wa fitina na itajulikana maziwa ni yepi na tui la nazi ni lipi, amemalizia.
Source ITV habari
My take;
Mawazo ya Dr Mwakyembe yamefanana na yale yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe!
TFFJe ni nani mwenye mamlaka ya kutafuta kocha na kufukuza? Mo waziri au TFF?
Hakika mkuu!VIONGOZI WA TFF KAMA KWELI WAMEUMIZWA NA MATOKEO YA CHAN19 BASI WANAPASWA WAWAJIBIKE KWA KUJIUZULU KABLA YA KUFIKA TAREHE HIYO
Wenzetu wanabadilika na kupiga hatua sisi maneno mengi uwezo kiduchu.Afcon sawa lakini si kufungwa na Kenya. Team ambayo tuna uzoefu wa kuifunga toka enzi za gossage.
Yote kwa yote Karia hatoshi pale TFF!Waziri Mwakyembe ajitahidi kuwa na subira, Tanzania inaanza kuzinduka kwenye mchezo wa soka, kwahiyo ni vema tuwe na mshikamano ili kutengeneza uwezo wa mchezo huu.
Nijuavyo TFF wana kurugenzi ya ufundi ambayo inatoa ushauri wa kiufundi kwa shirikisho kwania ya kuboresha mchezo wa soka.
Kurugenzi hiyo ndiyo inayopokea na kuzifanyia kazi taarifa za kocha, ndiyo yenye utaalam wa kutambua ubabaishaji wa kocha nk.
Si vema kila mtu aanze kupendekeza hili au lile kwa sababu ya madaraka aliyonayo nk.
TFF nayo inapaswa kushirikiana na serikali kwa faida ya mchezo wa soka ingawa kwenye mambo ya kiufundi isikilize kurugenzi yake tu
TFF pamejaa wapigaji wanasahau hadi kumlipa kocha!Amunike mwenyewe anaidai TFF mishahara ya miezi minne.
Kazi ya Karia imebaki kuajiri na kufukuza makocha tu,walianzia kwa Oscar Milambo wa U17 sasa Amunike na yule wa Timu ya wanawake aanze kutia maji kichwani