Waziri Mwakyembe asikitishwa na viburi vya TFF, adai kama Amunike ameondolewa basi Karia na wenzie nao wajiuzulu

Kwani makonda yuko wapi, inabidi yeye aingilie kati anakubali vipi wizara yake inachezewa na mwakyembe mbele za watu
 
Kama "Waziri mwenye dhamana ana makosa" na Rais aliyemteua huyo waziri nae "ana makosa", ang'atuke?

Ana dhamana ya nini huyo Waziri?
Na kama Rais aliyemteua huyo waziri anamakosa basi na sisi tuliyemchagua huyu raisi na sisi tuna makosa ting'atuke

"Collective responsibility"
 
Write your reply...
hii nchi imejaa walafi wa madaraka wanaopenda kuwajibisha bila kuwajibika!
hivi tulitegemea amunike atupe nini huko misri kama tu uongozi hata kupanga ratiba ya ligi imewashinda?
mfumo wetu wa soka ni mbovu na uongozi uliahidi makubwa na wameshindwa kutekeleza.
kama amunike kawajibishwa na uongozi pia uwajibike!
nasimama na waziri this time

shenzy
 
Waziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.

Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi wa TFF ili wamueleze sababu za kumfukuza Amunike na kumpa mikakati yao ya baadae lakini viongozi hao wameingia mitini.

Mwakyembe amesisitiza kuwa kama kocha ana matatizo maana yake hata uongozi wa juu wa TFF unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tarehe 24/07/2019 waziri wa michezo Dr Mwakyembe atakutana na wadau wote wa michezo wakiwemo viongozi wa TFF na hapo atakata mzizi wa fitina na itajulikana maziwa ni yepi na tui la nazi ni lipi, amemalizia.

Source ITV habari

My take;
Mawazo ya Dr Mwakyembe yamefanana na yale yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe!
Anaposema cku hiyo itajulikana tui na maziwa nikuwa anauwezo wa kuwafukuza lkn uwezo huo hana kwa soka la sasa waneweza wasifike kwenye kikao chake na lakufanya hana labda wapewe kesi kama ya malinzi
 
Waziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.

Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi wa TFF ili wamueleze sababu za kumfukuza Amunike na kumpa mikakati yao ya baadae lakini viongozi hao wameingia mitini.

Mwakyembe amesisitiza kuwa kama kocha ana matatizo maana yake hata uongozi wa juu wa TFF unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tarehe 24/07/2019 waziri wa michezo Dr Mwakyembe atakutana na wadau wote wa michezo wakiwemo viongozi wa TFF na hapo atakata mzizi wa fitina na itajulikana maziwa ni yepi na tui la nazi ni lipi, amemalizia.

Source ITV habari

My take;
Mawazo ya Dr Mwakyembe yamefanana na yale yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe!
Je ni nani mwenye mamlaka ya kutafuta kocha na kufukuza? Mo waziri au TFF?
 
Wajiuzuru kwa sababu gani? TFF na Mh. Makonda wanapaswa kupongezwa kwa kuifikisha Tz Afcon. Sisi wenyewe tulisema tunaenda kujifunza na sio kushindana. Kuhusu kufukuzwa kocha ni sahihi kabisa maana alikua hana mbinu yoyote. Kuhusu maoni ya Mbowe hayawezi kupewa uzito wowote kwa kuwa ameyatoa kipindi ambacho ana msongo mkubwa wa mawazo ya madeni makubwa anayodaiwa.
😂😂😂😂😂
 
kocha hajalipwa miez 3 kwhy huko afcon lawama za kocha tuu yan hakuna tff mbovu kama hii timu kuanzia kufuzu inachangiwaaa tu maan yak timu ya taifa haina bajet?? hela za fifa, caf zinaenda wap? hili lawama la wote tff hawawez kumpa kocha peke yakee yan hii n tfff mbovuuuuuu kabisaaa.
 
Waziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.

Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi wa TFF ili wamueleze sababu za kumfukuza Amunike na kumpa mikakati yao ya baadae lakini viongozi hao wameingia mitini.

Mwakyembe amesisitiza kuwa kama kocha ana matatizo maana yake hata uongozi wa juu wa TFF unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tarehe 24/07/2019 waziri wa michezo Dr Mwakyembe atakutana na wadau wote wa michezo wakiwemo viongozi wa TFF na hapo atakata mzizi wa fitina na itajulikana maziwa ni yepi na tui la nazi ni lipi, amemalizia.

Source ITV habari

My take;
Mawazo ya Dr Mwakyembe yamefanana na yale yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe!
VIONGOZI WA TFF KAMA KWELI WAMEUMIZWA NA MATOKEO YA CHAN19 BASI WANAPASWA WAWAJIBIKE KWA KUJIUZULU KABLA YA KUFIKA TAREHE HIYO
 
Waziri Mwakyembe ajitahidi kuwa na subira, Tanzania inaanza kuzinduka kwenye mchezo wa soka, kwahiyo ni vema tuwe na mshikamano ili kutengeneza uwezo wa mchezo huu.
Nijuavyo TFF wana kurugenzi ya ufundi ambayo inatoa ushauri wa kiufundi kwa shirikisho kwania ya kuboresha mchezo wa soka.
Kurugenzi hiyo ndiyo inayopokea na kuzifanyia kazi taarifa za kocha, ndiyo yenye utaalam wa kutambua ubabaishaji wa kocha nk.
Si vema kila mtu aanze kupendekeza hili au lile kwa sababu ya madaraka aliyonayo nk.
TFF nayo inapaswa kushirikiana na serikali kwa faida ya mchezo wa soka ingawa kwenye mambo ya kiufundi isikilize kurugenzi yake tu
 
Amunike mwenyewe anaidai TFF mishahara ya miezi minne.

Kazi ya Karia imebaki kuajiri na kufukuza makocha tu,walianzia kwa Oscar Milambo wa U17 sasa Amunike na yule wa Timu ya wanawake aanze kutia maji kichwani
 
Yote kwa yote Karia hatoshi pale TFF!
 
Amunike mwenyewe anaidai TFF mishahara ya miezi minne.

Kazi ya Karia imebaki kuajiri na kufukuza makocha tu,walianzia kwa Oscar Milambo wa U17 sasa Amunike na yule wa Timu ya wanawake aanze kutia maji kichwani
TFF pamejaa wapigaji wanasahau hadi kumlipa kocha!
 
Back
Top Bottom