Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kama Waziri haoni mapungufu ya Amunike na anataka viongozi wa TFF nao wang'oke, basi yeye na naibu wake na wao pia waondoke tu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karia anayeshughulika na soka 24/7/30/365 ndiye anayepaswa kujiuzulu.Kama Waziri haoni mapungufu ya Amunike na anataka viongozi wa TFF nao wang'oke, basi yeye na naibu wake na wao pia waondoke tu sasa
Amunke alistahili kuondoka baada ya mechi za kufuzu AFCON 2019. Wala sio tatizo la uongozi wa TFF. Ikumbukwe kuwa kufungwa kwa Taifa Stars siyo sababu ya kuondolewa kwake. Bali mfumo wake wa kuingoza timu na kupanga kikosi na kufanya mabadiliko kulionyesha kuwa ama anaihujumu au hajui.Waziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.
Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi wa TFF ili wamueleze sababu za kumfukuza Amunike na kumpa mikakati yao ya baadae lakini viongozi hao wameingia mitini.
Mwakyembe amesisitiza kuwa kama kocha ana matatizo maana yake hata uongozi wa juu wa TFF unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tarehe 24/07/2019 waziri wa michezo Dr Mwakyembe atakutana na wadau wote wa michezo wakiwemo viongozi wa TFF na hapo atakata mzizi wa fitina na itajulikana maziwa ni yepi na tui la nazi ni lipi, amemalizia.
Source ITV habari
My take;
Mawazo ya Dr Mwakyembe yamefanana na yale yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe!
Wewe umesomea wapi ukocha?!Amunke alistahili kuondoka baada ya mechi za kufuzu AFCON 2019. Wala sio tatizo la uongozi wa TFF. Ikumbukwe kuwa kufungwa kwa Taifa Stars siyo sababu ya kuondolewa kwake. Bali mfumo wake wa kuingoza timu na kupanga kikosi na kufanya mabadiliko kulionyesha kuwa ama anaihujumu au hajui.
Yote kwa yote Karia hatoshi pale TFF!
TFF pamejaa wapigaji wanasahau hadi kumlipa kocha!
Archimedes alisoma wapi physics? Alikuwa na cheti gani?Wewe umesomea wapi ukocha?!
Hata aje gardiola taifa star hii haiwezi kutoboa!
Tatizo syo kocha ni mfumo uliyopo
Ova
Man city!Brother GARDIOLA ni kocha wa timu gani ? Samahan nimepata ukakasi kidogo