Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
nyie na nani ?Wewe ndo humpendi mbona unatusemea na ss
Tunawajua kwa chuki zenu za kipuuzi. Kipi mnachangia kwenye hiyo timu ya taifa zaidi ya chuki na mgawanyiko. Mmeshajulikana ninyi ni mawakala wa mabeberu. Mtawapata nyumbu wenzenuTFF ambao ndio wasimamizi wa mpira wa miguu , wanaye msemaji wake hakuna haja ya waziri kupora cheo cha mtu , ataharibu !
Ifahamike kwamba TFF inaye msemaji wake ambaye analipwa kwa kazi hiyo , hakuna haja ya waziri kuwa msemaji na mtafuta kambi ya mazoezi ya Timu ya Taifa , anauwa morali ya mashabiki bila kujua , labda kwa faida ya wadau ni kwamba Mh Mwakyembe ni miongoni mwa mawaziri wasiopendwa na wananchi ( sijui kwanini ) , kwahiyo mtu kama huyu kumkabidhi afanye oganaizesheni ya jambo lolote tutafeli vibaya sana .
naomba kuwasilisha .
jikite kwenye mada mkuuTunawajua kwa chuki zenu za kipuuzi. Kipi mnachangia kwenye hiyo timu ya taifa zaidi ya chuki na mgawanyiko. Mmeshajulikana ninyi ni mawakala wa mabeberu. Mtawapata nyumbu wenzenu
Hao mabebberu nani kawaleta,kama sio kina mwakyembe wabunge na mawaziri. Jikite kwenye mada siasa huziwezi,umekaririshwaTunawajua kwa chuki zenu za kipuuzi. Kipi mnachangia kwenye hiyo timu ya taifa zaidi ya chuki na mgawanyiko. Mmeshajulikana ninyi ni mawakala wa mabeberu. Mtawapata nyumbu wenzenu
Kwenu hakuna zuri hata tukijadili hadi asubuhi. Lau asingeisemea bado ungelalama. Kwenu furaha ni watanzania kugawanyikajikite kwenye mada mkuu
na akiendelea na hayo mambo yake tutatangaza mgogoro na tutamsusia timu , hili si eneo la kutafutia kikiAnakuwa kama waziri wa Taifa Stars,hana action plan huyu
Serikali haijakatazwa kusaidia timu lakini hatutaki iwe ndio msemaji wa TFF .Kwenu hakuna zuri hata tukijadili hadi asubuhi. Lau asingeisemea bado ungelalama. Kwenu furaha ni watanzania kugawanyika
Mimi na ambao tunampendanyie na nani ?
ila kama kuna wasiompenda bora auchukue ushauri uliotolewa ,timu nyingi zimeporomoka pale siasa ilipotamalaki.Mimi na ambao tunampenda
Kwel siasa hafai kwenye kila jambo tatizo mtoa mada kasema mwakyembe hapendwi ambavyo cyo kwelila kama kuna wasiompenda bora auchukue ushauri uliotolewa ,timu nyingi zimeporomoka pale siasa ilipotamalaki.
njiti ya kiberiti iliunguza msitu .Nanyi Muache kumind vitu vidovodogo, mnaonekana akili yenu ipo idle
Kwel siasa hafai kwenye kila jambo tatizo mtoa mada kasema mwakyembe hapendwi ambavyo cyo kwel
Mimi na ambao tunampenda