Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
TFF ambao ndio wasimamizi wa mpira wa miguu , wanaye msemaji wake hakuna haja ya waziri kupora cheo cha mtu , ataharibu !
Ifahamike kwamba TFF inaye msemaji wake ambaye analipwa kwa kazi hiyo , hakuna haja ya waziri kuwa msemaji na mtafuta kambi ya mazoezi ya Timu ya Taifa , anauwa morali ya mashabiki bila kujua , labda kwa faida ya wadau ni kwamba Mh Mwakyembe ni miongoni mwa mawaziri wasiopendwa na wananchi ( sijui kwanini ) , kwahiyo mtu kama huyu kumkabidhi afanye oganaizesheni ya jambo lolote tutafeli vibaya sana .
naomba kuwasilisha .