kuku mweus
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 765
- 603
Mkuuu mbona unatoa matuc c ujibu hojaKwani wew uko timamu? Hahah ahaha acha kujifanya mwanamke asiee
Ngoja nifute kwamba hapendwi , naweka neno hili " Hana mvuto wala ushawishi " hapo vipi ?Umeanza vizuri sana, kwamba huyo mheshimiwa atakiwi kubeba majukumu ya msemaji wa TFF. Hapa upo sahihi...
Lakini ulichoendelea kukiongea, kwamba sijui apendwi na bla bla nyingine.......nadhani utakuwa ujafanya vema ndugu yangu, tafakari hilo.
By the way ujumbe umefika ndugu yangu, tunashukuru kwa uzalendo wako.
hii comment kaandika mwanaumeofcourse ni mmoja wa mawaziri wasiokuwa na mvuto mkubwa, sio photogenic, ukiwa photogenic ukisimama mbele za watu wanasahau shida zao,
mvuto unaoandikwa hapa ni nguvu ya ushawishi , Unajua soka inataka mtu anayeweza kuvuta mashabiki wengi zaidi kuunga mkono timu , mwakyembe hana hicho kipajihii comment kaandika mwanaume
Ngoja nifute kwamba hapendwi , naweka neno hili " Hana mvuto wala ushawishi " hapo vipi ?
like serious mwakembe hana ushawishimvuto unaoandikwa hapa ni nguvu ya ushawishi , Unajua soka inataka mtu anayeweza kuvuta mashabiki wengi zaidi kuunga mkono timu , mwakyembe hana hicho kipaji
mwambie ajaribu kuitisha harambee ya kuchangia Taifa stars , akipata hata laki 5 najiuzulu .like serious mwakembe hana ushawishi
mtu aliyemove bunge zima mpaka waziri mkuu akajiuzulu.
sasa waziri wa michezo asipojifungamanisha na michezo nani afanye.
the man is doing his job acheni ngebe
Lakini hata ukikataa ukweli uko wazi, Mwakyembe ni miongoni mwa mawaziri gundu.Tunawajua kwa chuki zenu za kipuuzi. Kipi mnachangia kwenye hiyo timu ya taifa zaidi ya chuki na mgawanyiko. Mmeshajulikana ninyi ni mawakala wa mabeberu. Mtawapata nyumbu wenzenu
hiyo ndio siasa ya dunia labda hujajua tu, Bale anateseka sana pale Madrid, Clinton, Obama hata Bush waliinjoy sana kwenye urais wao, mzee Mwai kibaki mmh hata mialiko ya ughaibuni alikuwa anaisikiahii comment kaandika mwanaume
hata mimi simpendi semea NAFSI yakoWewe ndo humpendi mbona unatusemea na ss
Ila kuna watu akili zao ni vumbi sana....Kama huyuTunawajua kwa chuki zenu za kipuuzi. Kipi mnachangia kwenye hiyo timu ya taifa zaidi ya chuki na mgawanyiko. Mmeshajulikana ninyi ni mawakala wa mabeberu. Mtawapata nyumbu wenzenu
Nilivyomwelewa mtoa mada ni kwamba mwakyembe ni mwanasiasa hivyo ilikuwa si sahihi mwanasiasa akawa msemaji wa Taifa stars maana mpira hauna chamaUmeanza vizuri sana, kwamba huyo mheshimiwa atakiwi kubeba majukumu ya msemaji wa TFF. Hapa upo sahihi...
Lakini ulichoendelea kukiongea, kwamba sijui apendwi na bla bla nyingine.......nadhani utakuwa ujafanya vema ndugu yangu, tafakari hilo.
By the way ujumbe umefika ndugu yangu, tunashukuru kwa uzalendo wako.
Ni kuvumilia tu maana ndiyo aina ya watanzania tulionaoIla kuna watu akili zao ni vumbi sana....Kama huyu