Waziri Mwakyembe asiwe msemaji wa Taifa Stars , aendelee kusimamia sera za chama chake

Umeanza vizuri sana, kwamba huyo mheshimiwa atakiwi kubeba majukumu ya msemaji wa TFF. Hapa upo sahihi...

Lakini ulichoendelea kukiongea, kwamba sijui apendwi na bla bla nyingine.......nadhani utakuwa ujafanya vema ndugu yangu, tafakari hilo.

By the way ujumbe umefika ndugu yangu, tunashukuru kwa uzalendo wako.
 
Ngoja nifute kwamba hapendwi , naweka neno hili " Hana mvuto wala ushawishi " hapo vipi ?
 
Angalau, utakuwa umepunguza ukali wa maneno. Lakini hoja ya msingi ipo pale pale....ujumbe wako unaweza kuwasilishwa bila hata kuongelea jambo lolote kuhusu huyo kiongozi.

So ni vema tu, ukaandika kisomi zaidi na sio kwa namna hiyo....maana hapo unakuwa kama unatoa vijembe ndugu.

Ni maoni yangu tu.
Ngoja nifute kwamba hapendwi , naweka neno hili " Hana mvuto wala ushawishi " hapo vipi ?
 
mvuto unaoandikwa hapa ni nguvu ya ushawishi , Unajua soka inataka mtu anayeweza kuvuta mashabiki wengi zaidi kuunga mkono timu , mwakyembe hana hicho kipaji
like serious mwakembe hana ushawishi
mtu aliyemove bunge zima mpaka waziri mkuu akajiuzulu.
sasa waziri wa michezo asipojifungamanisha na michezo nani afanye.
the man is doing his job acheni ngebe
 
mwambie ajaribu kuitisha harambee ya kuchangia Taifa stars , akipata hata laki 5 najiuzulu .
 
Tunawajua kwa chuki zenu za kipuuzi. Kipi mnachangia kwenye hiyo timu ya taifa zaidi ya chuki na mgawanyiko. Mmeshajulikana ninyi ni mawakala wa mabeberu. Mtawapata nyumbu wenzenu
Lakini hata ukikataa ukweli uko wazi, Mwakyembe ni miongoni mwa mawaziri gundu.
 
hii comment kaandika mwanaume
hiyo ndio siasa ya dunia labda hujajua tu, Bale anateseka sana pale Madrid, Clinton, Obama hata Bush waliinjoy sana kwenye urais wao, mzee Mwai kibaki mmh hata mialiko ya ughaibuni alikuwa anaisikia
 
Tunawajua kwa chuki zenu za kipuuzi. Kipi mnachangia kwenye hiyo timu ya taifa zaidi ya chuki na mgawanyiko. Mmeshajulikana ninyi ni mawakala wa mabeberu. Mtawapata nyumbu wenzenu
Ila kuna watu akili zao ni vumbi sana....Kama huyu
 
I agree with you!

TFF nao wapewe nafasi wawe wanatoa maelezo kuhusu uendeshaji mpira.

Ila hilo si kosa la Mwakyembe bali ni la waandishi ambao wana uhuru wa kuchagua kumhoji Mwakyembe tu au viongozi wa TFF.
 
Umeanza vizuri sana, kwamba huyo mheshimiwa atakiwi kubeba majukumu ya msemaji wa TFF. Hapa upo sahihi...

Lakini ulichoendelea kukiongea, kwamba sijui apendwi na bla bla nyingine.......nadhani utakuwa ujafanya vema ndugu yangu, tafakari hilo.

By the way ujumbe umefika ndugu yangu, tunashukuru kwa uzalendo wako.
Nilivyomwelewa mtoa mada ni kwamba mwakyembe ni mwanasiasa hivyo ilikuwa si sahihi mwanasiasa akawa msemaji wa Taifa stars maana mpira hauna chama
 
Shukrani kwa kuzingatiwa kwa ushauri wangu .
 
Ukiskia kimojawapo kati ya hivi: KAMATI YA SAIDIA STARS ama KAMATI YA USHINDI.... basi ujue ndio Mwisho wetu!
 
Na ameanza kupenda soka baada ya kuwa waziri wa wizara husika, anajifunza kupenda soka
 
Back
Top Bottom